Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Wengi hulaani na kutaka kuona hawafanikiwi wapaukiane ila sioni hiyo sababu ya kuomba hivyo kwa kuwa kila mtu ana haki ya kupenda na kuufuata moyo wake.Nawaombea Mema, kikubwa wapate mahitaji ya mioyo yao na waridhike...
kauli hii imejaa uungwana wa kipekee sana kutoka kwa binadamu wachache sana walojaaliwa Moyo wa subra na ustahimilivu wa kutosha.
Natania bwana, hayo sio mambo yangu na siwezi kufanya.We mroge kwa kumzalia mtoto mzuri hayo mengineyo waachie wachawi kazi zao usiingilie majukumu ya watu.
🤣🤣🤣🤒Mentality ya "ukifa utajiachaje" ife kabisa. Wao wanadhani sisi ndio tunatangulia kufa..wanawaza mali tu
• Cha Mwanaume ni mali ya familia, cha mwanamke ni mali ya mwanamke.Uhalisia wa 50/50 ni ndoto ya mlevi ila 50/50 wataiweza tu kwa mchango wa malezi na huduma kwa familia ila sii kwa fikra walizo nazo hii leo.
Ivo yaanWengi hulaani na kutaka kuona hawafanikiwi wapaukiane ila sioni hiyo sababu ya kuomba hivyo kwa kuwa kila mtu ana haki ya kupenda na kuufuata moyo wake.
Mimi huwa naamua kujiweka mbali kimya nisitake kujua lolote limhusulo lakini wao hawaachi kunitafuta tafuta.
Huwa sipendi kuwa kero kwenye maisha ya mtu kwa namna yeyote ile.
Na usiweze kamweNatania bwana, hayo sio mambo yangu na siwezi kufanya.
Ni hivyo simple kabisa.Ivo yaan
Kujiendekeza na kuona anachofanya kiko sahihi, kuna watu wanalelewa mazingira ya vilabuni, Mama zao wapika pombe lakini wakiwa watu wazima wanaishi maisha tofauti na yale.!! Ni kuamua na kuchagua uwe nani??• 🤒🤒, kwa hiyo tuseme haya mambo yanaazia kwenye uleaji mtoto/watoto?,
• kama ndo hivyo basi yawezekana hata baadhi ya ndoa zinashindwa kudumu kwa sababu tayari amesharibika toka mwanzo.
Utamaduni wa kiafrika una fanya mahusiano mengi sana kufa sababu ya jinsia ya wanawake wao wanadhani mwanaume ndiyo kila kitu, hela ya bills, chakula kila kitu ni mwanaume, mwanamke yeye kazi yake ni moja tuu, Tendo la ndoa na kuzaa which kwa dunia ya sasa ni ngumu mnooo. Dunia ya sasa ni kusaidiana linapokuja suala la uchumi. Ni wazo tuu lakiniHabari WanaJamiiforums, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Imekuwa kawaida Wanawake kulalamika kwamba wanaume hawaangalii wala kutilia mkazo kikamilifu kuhusu shida zao. Lakini ukweli ni kwamba kuna mambo ambayo wanaume nao wanatamani wanawake wajue baadhi ya mambo:-
|-• Wanaume wengi wanatamani, wanawake wao waelewe umuhimu wa mawasiliano ya wazi na kuheshimiana, kuwa na kusudi/lengo la pamoja, kusaidiana katika kujenga maisha. Pia, kuwa na nafasi ya kujitambua kibinafsi na kudumisha uhuru ndani ya uhusiano.
||-• Na kama watafanya uhusiano wao au ndoa yao itakuwa bora na wanaume wao watawatendea vizuri zaidi, watafanya kazi kwa pamoja ili kuboresha mawasiliano, kuelewa mahitaji ya mwenza, na kushiriki katika hali ya furaha na changamoto kwa pamoja,
|||-• Wanaume toa Ushauri Kwa wanawake juu ya kitu chochote ungetamani wanawake wajue.
Wengi hulaani na kutaka kuona hawafanikiwi wapaukiane ila sioni hiyo sababu ya kuomba hivyo kwa kuwa kila mtu ana haki ya kupenda na kuufuata moyo wake.
Mimi huwa naamua kujiweka mbali kimya nisitake kujua lolote limhusulo lakini wao hawaachi kunitafuta tafuta.
Huwa sipendi kuwa kero kwenye maisha ya mtu kwa namna yeyote ile.
Hii hutokea pale mnapoachana kwa ugomvi wa hali juu, na ndo maana wengi huenda mbali zaidi hadi kurogana au kusababisha vifo. Watu wa aina hii, hawawezi kuombeana mema hata siku moja.Wengi hulaani na kutaka kuona hawafanikiwi wapaukiane ila sioni hiyo sababu ya kuomba hivyo kwa kuwa kila mtu ana haki ya kupenda na kuufuata moyo wake.
mapenzi kiboko mi nikishindwana na mtu bora tuachane tu kwa amani hakuna haja ya vita.Hii hutokea pale mnapoachana kwa ugomvi wa hali juu, na ndo maana wengi huenda mbali zaidi hadi kurogana au kusababisha vifo. Watu wa aina hii, hawawezi kuombeana mema hata siku moja.
Kweli life is active force, ukicheza vibaya kidogo tu, tayari unaonekana kituko mtaani. Maana hakuna mtu atakaye kuona wa maana ukisha jihusisha hayo mambo.Kujiendekeza na kuona anachofanya kiko sahihi, kuna watu wanalelewa mazingira ya vilabuni, Mama zao wapika pombe lakini wakiwa watu wazima wanaishi maisha tofauti na yale.!! Ni kuamua na kuchagua uwe nani??
Upo sahihi mkuu, lakini wanawake wametofautiana, utakuta mwanamke mwingine hana kazi yeyote ile ni mama wa nyumbani tu, lakini anatoa support kwa mwenzie kwa kazi anayo ifanya bila kujali kipato wanacho ingiza,Utamaduni wa kiafrika una fanya mahusiano mengi sana kufa sababu ya jinsia ya wanawake wao wanadhani mwanaume ndiyo kila kitu, hela ya bills, chakula kila kitu ni mwanaume, mwanamke yeye kazi yake ni moja tuu, Tendo la ndoa na kuzaa which kwa dunia ya sasa ni ngumu mnooo. Dunia ya sasa ni kusaidiana linapokuja suala la uchumi. Ni wazo tuu lakini
Kweli kabisa, ila kuna baadhi ya mioyo mingine imezaliwa kwa kulipiza kisasi, ndo maana kesi zinazo tokana na mapenzi mara nyingi wanachinjana.mapenzi kiboko mi nikishindwana na mtu bora tuachane tu kwa amani hakuna haja ya vita.
Ndio walimwengu tumetofautiana na hatuwezi kufanana lazima tulikubali hilo.Kweli kabisa, ila kuna baadhi ya mioyo mingine imezaliwa kwa kulipiza kisasi, ndo maana kesi zinazo tokana na mapenzi mara nyingi wanachinjana.
Umeoa au unamkee??A. Kama mtu hajakukosea au kukuvunjia heshima usimuongeleshe au kumjibu vibaya.
B. Mwanamke ukiwa kwenye taratibu za kuolewa acha mazoea ya kuwasiliana na wanaume hasa ma ex itakugharimu na hawatokuwa na faida yeyote nawewe.
C. Mheshimu, mpende na kumjali mumeo bila kusahau kumuombea , usimloge.