Nyaubikra
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 1,339
- 3,319
Hawajui kila binadam ana vitu mwake mwenyewe hata kama ni mapacha.Hili ni tabia ya kila mwanamke, na wengine hufika mbali zaidi, huoni mwenzio chakubanga alivyo.......?, bila kujua kwamba inaweza athiri kiasi fulani kwa mwenza wake.