Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

[emoji16][emoji16], Hilo hijilaumu pale wakisha pigwa na kitu kizito kichwani.. Wanawake wengi virgin zimetolewa na walugaluga.
Kweli kabisa, binafsi najilaumu sana ujana wangu wote kuupoteza nikijafanya Mr Nice guy wakati sijawahi kutoa bikra ya demu yeyote, huwa some time najiuliza hivi kujifanya nice guy ni laana au nini, maana wahuni wote ndio waliofanikiwa kunyakuwa bikra za watoto wazuri wakati hawakuwa na mbele wala nyuma.
 
Mwanamke mweshimu na mtunze sana mwanaume anayekupa hela na kuamua kuyabeba majukumu ya wazazi wako
 
1. Tendo la ndoa/ngono vina umri , baada ya muda hivyo hua sio vipaumbele Kwa mwanaume (ukiona kaanza kpunguza Hilo Jua kaanza kukua)

2. Nakazia mwanamke kuwa na kitu Cha ziada Kwa mumewe zaidi ya ngono/tendo la ndoa na kama huna hakikisha unasapot movement zake zote in a positive way.
Sawa .ila muwe na shukrani basi mkishasimama
 
Kweli kabisa, binafsi najilaumu sana ujana wangu wote kuupoteza nikijafanya Mr Nice guy wakati sijawahi kutoa bikra ya demu yeyote, huwa some time najiuliza hivi kujifanya nice guy ni laana au nini, maana wahuni wote ndio waliofanikiwa kunyakuwa bikra za watoto wazuri wakati hawakuwa na mbele wala nyuma.
• 😬😬, pole sana mkuu, ingawa utoaji wa bikra ni shughuli kidogo,,

• Hata hizo zilizotolewa bikra zipo 7G mbona,
 
Mwanamke mweshimu na mtunze sana mwanaume anayekupa hela na kuamua kuyabeba majukumu ya wazazi wako
Hapo inabidi heshima iwepo, ila chakushangaza, baadhi ya wanawake huwa hawalioni hili suala, kisha wanaendelea kufanya maigizo kwenye ndoa.
 
Back
Top Bottom