Straika mpya wa Al Nassr, Jhon Duran atasafiri Kilomita 500 kila siku kwenda na kurudi mazoezini, kisa sheria hizi za Saudi Arabia kumbana

Straika mpya wa Al Nassr, Jhon Duran atasafiri Kilomita 500 kila siku kwenda na kurudi mazoezini, kisa sheria hizi za Saudi Arabia kumbana

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Straika mpya wa Al Nassr, Mkolombia, Jhon Duran atalazimika kusafiri Kilomita 500 kila siku kwaajili ya kwenda na kurudi katika mazoezi yaa klabu yake hiyo mpya.

Duran aliyesajiliwa kutokea Aston Villa, ataishi Bahrain na mpenzi wake kutokana na sheria za Saudi Arabia kukataza kuishi kinyumba kati ya mwanaume na mwanamke ambao hawajaoana.

Hivyo kila siku atakuwa hewani kwenye ndege kutokea Bahrain kwenda Riyad, Saudi Arabia kufanya mazoezi kisha kurejea Bahrain ambapo kwa safaria moja itamlazimu atumie dakika 80 angani.

Duran analipwa zaidi ya Tshs Bilioni 1 ya Kitanzania kwa wiki🤣

==================================================
Jhon Duran will travel over 500KM a day to train with Al-Nassr.

The Colombian striker insisted on living in the neighbouring state of Bahrain with his girlfriend.

This is because in Saudi Arabia you are not allowed by law to live with your partner unless you are married.

He therefore will take a 80-minute flight to training every day from Bahrain to Riyadh, where Al-Nassr are based.
 
Waarabu nao ni bure kabisa. Wanapenda mapinduzi kwenye michezo, halafu bado wanajifanya kuendekeza sheria zao za kizamani.
Sio za kizamani bali ni sheria za kidini.
 
Waarabu nao ni bure kabisa. Wanapenda mapinduzi kwenye michezo, halafu bado wanajifanya kuendekeza sheria zao za kizamani.
Kuna kitu Waarabu wanamiss, you can not have it all. Lazima kuna upande ukubali kupoteza.
 
Ronaldo prominence yake imemfanya aruhusiwe. Hata hivo georgina anashiriki kila lililo la kitamaduni pale saudia
 
Back
Top Bottom