Stress za kukosa uteuzi zina haribu ubongo wa Pro. Tibaijuka

Kunya anye kuku akinya bata kaharisha au sio? Umechanganyikiwa wewe
Mkuu ...tuwe wakweli
Hivi unaweza ukafanya KAZI UN halafu ukarudi kuomba kura Kakonko?
Na je kama unaweza kuomba kura kwanini uspate stress baada ya kukosa uteuzi?
 
Kauli za Prof na CV vinakinzana sana.
 
Mkuu ...tuwe wakweli
Hivi unaweza ukafanya KAZI UN halafu ukarudi kuomba kura Kakonko?
Na je kama unaweza kuomba kura kwanini uspate stress baada ya kukosa uteuzi?
Nakuambiaje huyo mama hana njaa na kwa umri alionao anamalizia kula pension zake. Kwani kosa lake lipo wapi? Kuongea Ukweli Wakamkamate na Warioba kwa kulalamika kwake kuhusu Nchimbi. Watawakamata wangapi? Usije kuniambia na mimi nina stress kwa kukuambia ukweliπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe Una Akili za Kijuha Unajua nini? Ulivyoingiza Udini nimekuona faken kwahiyo ulitaka serikalini wajazwe waislam. Unamponda Tibaijuka kwa kula keki ya taifa wewe ccm yako inaitafuna mara ngapi na wewe Juha mia nyekundu mfukoni huna Acha Chuki Haijengi Dogo au Wanakung'ata wewe sio bure
 
Mkuu

Hakuna Profesa hapo
Profesa anaegeuka kuwa janga kwa taifa lake kwa kushiriki kuchota pesa za wizi za walalahoi ni mganga njaa kama waganga njaa wengine tuh
Bora kuibiwa na profesa kuliko kuibiwa na mtu mwenye DIVISHENI FOO.

Hakuna kitu inauma kama kuibiwa na MAAMUMA, unaweza ukalia kwa uchungu.
 
Kumbuka Tibaijuka ni profesa sio kama yule mama yenyu mwenye DIVISHENI FOO
Hivi Tibaijuka na wewe nani mwenye akili mbona umemzidi.
Wenye akili wametulia wanatafakar waongee nini na wapi syo Kila siku kukusanya migomba ya ndz na kutoa press taka
 

Kama wewe unapigwa miti ni juu yako

Siyo kila mtu ni punga kama wewe

Na ni uongo kuwa makafiri wamejazana huko serikalini utadhani wako kwenye parokia na kazi kubwa wanayoifanya ni kuibia serikali??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…