Stress za kukosa uteuzi zina haribu ubongo wa Pro. Tibaijuka

😂😂😂😂😂😂😂😂

Sawa we mtetee ni haki yako, ila sote tunaujua ukweli wa huyo bibi yenyu. 🥱🥱

Academics 🥱🥱
 
TIBAIJUKA hana stress wala nini maisha bora yule, akili kubwa ameamua kuwa mkweli tuu.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂

Sawa we mtetee ni haki yako, ila sote tunaujua ukweli wa huyo bibi yenyu. 🥱🥱

Academics 🥱🥱
Huwezi kujua Mpaka uwe na uelewa wa mifumo ya upimaji kwenye ujifunzaji na ufundishaji.
 
Kwa yanayoendelea akae kimya?
 
Wewe ndo mjinga na mwenye shida. She's way smarter than your dumb brain
 
Tulia mkuu utawewuka
Namshukuru Mungu Sina njaa ndogondogo nawehukaje mkuu? Mimi ni mwanaume nilizaliwa siku moja nitakufa siku moja Simamia Ukweli Huo ndio Uanaume huoni wale raia waliwapiga makofi wale wastaafu kwenye msiba wa pengo wengine hawakupigiwa wakanuna😂 Ukiwa na Hekima Unakubalika na kila mtu siyo huyo wenu anawalipa buku7 pale lumumba na bundle la kupondea opposition
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…