Stress za kukosa uteuzi zina haribu ubongo wa Pro. Tibaijuka

Mtu awe Professor, PhD/ DSc in Agriculture Economics, Mkurugenzi Mstaaafu wa Shirika la Umoja wa Mataifa, UN-Habitat (United Nations Human Settlements Programme, awe na stress!!!
JK kwa shobo zake, ndo alimtoa huyo mama UN kumleta bongo kula vumbi.
 
Ticha komaa Mwl Julius Kambarage Nyerere alikua Raisi, haya hayati Magufuli alikua mwalimu na yeye akawa Raisi bado wewe komaa nafasi unayo kama uchawa ndio ticket komaa nao
 
Hivi unamjua Prof Tibaijuka vizuri? Kabla hajaingia kwenye siasa ana pesa za UN.

Unajua mishahara ya UN? Inazidi hadi hiyo ya Uteuzi.
 
Wewe umepata teuzi?
 
Yaani kwa uandishi huu wewe ndio unajiona una akili kumzidi Profesa Tibaijuka?
Kwa hiyo hapo ndio umejiona umemkosoa kisomi mwenyewe just kwa kusema tu"hajataja platform gani,amesahau bilioni 10" basi hivyo tu?
 
Hivi unamjua Prof Tibaijuka vizuri? Kabla hajaingia kwenye siasa ana pesa za UN.

Unajua mishahara ya UN? Inazidi hadi hiyo ya Uteuzi.

Mtoa mada anafikiri, Tiba ni kundi la akina Queen Sendiga. 😁
Kaendesha shirika UN-HABITAT kama Director kwa miaka kibao. Settlement programme zote korofi duniani kasimamia yeye.
 
Mtoa mada anafikiri, Tiba ni kundi la akina Queen Sendiga. 😁
Kaendesha shirika UN-HABITAT kama Director kwa miaka kibao. Settlement programme zote korofi duniani kasimamia yeye.
Mbona alirudi kuomba kura Tanzania
 
Mtoa mada anafikiri, Tiba ni kundi la akina Queen Sendiga. 😁
Kaendesha shirika UN-HABITAT kama Director kwa miaka kibao. Settlement programme zote korofi duniani kasimamia yeye.
Hawa machawa inabidi kabla hawajapewa TASK ya kuponda watu, waliowatuma wawape profile zao kwanza ,inaonekana wanawaponda watu ambao hawawajui.
 
Tumekusikia ila muhimu ujikite kweny hoja zake na sio personal issues zake!!
 
Mbona alirudi kuomba kura Tanzania
Ndiyo maana mnapopewa kazi na WAHUNI wenu wawe wanawapa historia kwanza ya hao watu mnaowaponda.

Mshahara aliokuwa anakula UN asingeweza hata chembe kuacha na kuja kufanya siasa za majitaka ,Mshahara wa Director wa UN kwasasa ni Around 40m -80m kutegemea na sehemu uliyopelekwa.

Ukiona mwanasiasa ambaye alikuwa nje akarudi TZ basi jua aliitwa na nchi kuja kufanya kazi ,hata Daudi Balali aliletwa kuja kufanya kazi TZ.
 
Ukiona Mtu anaitwa Prof. Muheshim maana hiyo title hajawai ipata Mtu asie na Akili timamu

Kama unabisha nenda katafute PhD, utajua kwanini walisema wahenga Elimu ni pyramid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…