Chuki mbaya sana.Wanawake wa kiislamu kwa asilimia kubwa ni wachawi kuweni makini na vijana wenu
Kaburungu yupi wa Ulyankulu nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daudi mtu mbad short comment na komedi ndani, huna habari...
Nakubali sana
Haina kwere Mario Puzzo: The Godfather msalimie don ColeornHaha pamoja cheif
Surely Its a honor to send your greetings to Sicily.Haina kwere Mario Puzzo: The Godfather msalimie don Coleorn
[emoji23][emoji23]Surely Its a honor to send your greetings to Sicily.
“Let those who are in favour with their stars” Shakespeare wrote a poem.
Bora tapeli kuliko mchawi.Ila unachangamana na utapeli eti.
Maji, vitambaa, nk
Huyu wa Kipalapala cheifKaburungu yupi wa Ulyankulu nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni mwanamke?Chuki mbaya sana.
Imani bila vitendo vizuri = nothing, so HELL.Ajabu Watu wanahangaika na Dini Karne hii, hakuna mtu ataingia peponi kwa Dini yake isipokuwa Matendo yake Mema.
Rekebisheni matendo yenu kuwa mema ndipo mtaiona Pepo.
Una uhakika hujatumia kilevi?Wanawake wa kiislamu kwa asilimia kubwa ni wachawi kuweni makini na vijana wenu
Sijawabi hata kuonja kitu inaitwa kilevi,sigara and the likes.Una uhakika hujatumia kilevi?
Hiyo ni kama Njia tu lakini matendo mema ndiyo tiketi ya kwenda peponiImani bila vitendo vizuri = nothing, so HELL.
Vitendo vizuri bila Imani = zero, hivyo JAHANAMU.
Imani + vitendo vizuri = Uchamungu inapelekea zawadi ya PEPO/PARADISO.
Shida inakuja pale utakapofanya vitendo vizuri bila ya Imani (huamini kuwa kuna mlipaji na wala huamini kuwa amekutaka ufanye vitendo vizuri). Utakuwa umefanyakazi bila mkataba.Hiyo ni kama Njia tu lakini matendo mema ndiyo tiketi ya kwenda peponi
Umewahi kujiuliza kabla ya ugeni wa Waarabu na Wamisionari, Babu zetu waliofariki wakati huo watakuwa wameenda Peponi au wapi?Shida inakuja pale utakapofanya vitendo vizuri bila ya Imani (huamini kuwa kuna mlipaji na wala huamini kuwa amekutaka ufanye vitendo vizuri). Utakuwa umefanyakazi bila mkataba.
Na ukiamini tu bila kufanya vitendo vizuri, ni sawa na kuwa na mkataba wa kazi na kazi ulioingia mkataba hutaki kuifanya. Hapo itokee huruma tu ya mwajiri.
Walid mzizeClement sasa anaitwa nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magoli matano kasha badili dini ajiandae kwenda ihefu, sema angekua kahama uislam sahizi zima moto wangekua kwake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahUnaona raha ya Uislam.
Ma shaa Allah tunao mabinti wengi sana wa Kiislam wanaopenda stara.
Anza kujifunza kuswali. Ukiweza juzisoma japo sura ndogo tano za Qur'an za kukufanya uweze kuswali kwa raha, ndiyo itakuwa mahari ya binti.
Huu uongo sasa, khaaaaahHapo umesema sawa, kwani hakuna anaezaliwa mkristo. Wanaozaliwa kwenye ukriisto ni wengi tu lakini wanapozaliwa wanazaliwa Waislam, si wakristo.