Striker wa Yanga Clement Mzize abadili Dini

Ajabu Watu wanahangaika na Dini Karne hii, hakuna mtu ataingia peponi kwa Dini yake isipokuwa Matendo yake Mema.

Rekebisheni matendo yenu kuwa mema ndipo mtaiona Pepo.
Imani bila vitendo vizuri = nothing, so HELL.
Vitendo vizuri bila Imani = zero, hivyo JAHANAMU.
Imani + vitendo vizuri = Uchamungu inapelekea zawadi ya PEPO/PARADISO.
 
Hiyo ni kama Njia tu lakini matendo mema ndiyo tiketi ya kwenda peponi
 
Shida inakuja pale utakapofanya vitendo vizuri bila ya Imani (huamini kuwa kuna mlipaji na wala huamini kuwa amekutaka ufanye vitendo vizuri). Utakuwa umefanyakazi bila mkataba.
Na ukiamini tu bila kufanya vitendo vizuri, ni sawa na kuwa na mkataba wa kazi na kazi ulioingia mkataba hutaki kuifanya. Hapo itokee huruma tu ya mwajiri.
 
Umewahi kujiuliza kabla ya ugeni wa Waarabu na Wamisionari, Babu zetu waliofariki wakati huo watakuwa wameenda Peponi au wapi?

Tufanye Mema Mkuu
 
Unaona raha ya Uislam.

Ma shaa Allah tunao mabinti wengi sana wa Kiislam wanaopenda stara.

Anza kujifunza kuswali. Ukiweza juzisoma japo sura ndogo tano za Qur'an za kukufanya uweze kuswali kwa raha, ndiyo itakuwa mahari ya binti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Back
Top Bottom