Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
STRAIKER ndo nini?Mshambuliaji wa klabu ya @yangasc @clementinho49 amebadili dini na kuwa muislamu hii leo mbele ya Kaimu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Walid Alhad Omari, ikiwa ni siku ya kwanza ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Mzize kwa sasa atakuwa akitumia jina la Walid Mzize.
Ramadhan Kareem
View attachment 2562549
Usikubali kuwa mtumwa zinduka upo kifungoniNdio ukweli huo huko kwa wazee wakobazi majini na mapepo ni kitu kimoja mim binafsi siwezi kushangaa kwa mtu anae taka mafanikio ya mikato kupitia njia hiyoView attachment 2562578
MfungajiSTRAIKER ndo nini?
Wewe ndio inabdi utoke kwenye kifungo cha din za michongoUsikubali kuwa mtumwa zinduka upo kifungoni
Iki kipindi cha Ramadhan biashara yangu inashuka sana, badala ya kuchinja watano inabidi niwe nachinja mmoja tu!Ma shaa Allah
Inshallah 🙏Wewe ndio inabdi utoke kwenye kifungo cha din za michongo
Hakuna kitu kama hicho, refer Websters Englsh Dictionary/Collins Dictionary.Mfungaji
Sijui lugha zenu mkuuHakuna kitu kama hicho, refer Websters Englsh Dictionary/Collins Dictionary.
NakaziHapo anataka kuoa hapo binti wa kiislam
Yale mambo ya Ben Pol ndio kama hayo.
Ama msanii Barnaba
Wakiachana tu mtu anarudi kwenye dini yake
😂😂😂🤣🤣🤣😂😂mroho wa futari
Amemkataa Kristo kuwa Bwana na mwokozi wake!! Hasara iliyoje mbinguni ni huzuni kubwa
Mshambuliaji wa klabu ya @yangasc @clementinho49 amebadili dini na kuwa muislamu hii leo mbele ya Kaimu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Walid Alhad Omari, ikiwa ni siku ya kwanza ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Mzize kwa sasa atakuwa akitumia jina la Walid Mzize.
Ramadhan Kareem
View attachment 2562549kama hajafosiwa na mwanamke au mtu yeyote yule ni Imani yake imemshawishi abidili yupo sahihi kabisa,ngoja afurahie uislamu wake
Tena ni Bwege cubic, Ke mwenyewe ni kiumbe kisichojua kinataka nini, sasa Me unaanzaje kukaza fuvu ili tu umuoe, je kesho Ke akibadili gia angani hakutaki anataka kuolewa na Me mwingine?Kama ni kwel ana badili kisa ndoa ni bwege tu .mwanaume yoyote anae badili dini ili amfate mkewe ni kiazi tu
Usilolijua.......[emoji3578]Kastaafu kula kitimoto
Mbona Kama umeumia Sana!?Hapo anataka kuoa hapo binti wa kiislam
Yale mambo ya Ben Pol ndio kama hayo.
Ama msanii Barnaba
Wakiachana tu mtu anarudi kwenye dini yake
Daaah JF ni burudani tele [emoji28]Majini na mapepo yamemtaka afanye hivo ili aweze kubeba hirizi vizuri
Huzuni kwa malaika wanaopenda vichwa Kama ugali au!?Amemkataa Kristo kuwa Bwana na mwokozi wake!! Hasara iliyoje mbinguni ni huzuni kubwa
Hao Jamaa huwa wananifurahisha sana mtifuano wao, sasa aongezeke na yule MK254 hakika JF itakesha usiku na mchana kujadili uislamu na Ukristo.
Sauti kidogo ili wasikusikie vizuri...[emoji847]Iki kipindi cha Ramadhan biashara yangu inashuka sana, badala ya kuchinja watano inabidi niwe nachinja mmoja tu!
Nitawamisi wateja wangu kama wewe mpaka Ramadhan iishe!