Tupe mstari mmoja uliokufanya wewe useme Issa alayhi salaam siyo Yesu alayhi salaam.Naam nimemsoma ndiyo maana nimekuambia Yesu siyo Issa
Yesu pia alikuwa muislam maana picha mnazobandika makanisani amevaa kanzu na kobazi safi kabisa.Ndio ukweli huo huko kwa wazee wakobazi majini na mapepo ni kitu kimoja mim binafsi siwezi kushangaa kwa mtu anae taka mafanikio ya mikato kupitia njia hiyoView attachment 2562578
Mama yale Yesu pia kwenye picha huonekana amevaa mavazi yanayovaliwa na kina mama wa kiislamu ya kujistiri sio kama wamama wa upande ule wanaoingia kanisani na vimini.Ndio ukweli huo huko kwa wazee wakobazi majini na mapepo ni kitu kimoja mim binafsi siwezi kushangaa kwa mtu anae taka mafanikio ya mikato kupitia njia hiyoView attachment 2562578
Yule sio yesu,ni wahuni waliingizi so makanisa yanayo tumia izo picha wajitafakariYesu pia alikuwa muislam maana picha mnazobandika makanisani amevaa kanzu na kobazi safi kabisa.
Ma shaa Allah
Unaona raha ya Uislam.Bibi hauna mwingine nna Mimi nibadili dini,wakristo tunabaniwa,kuoa mmoja tu wa ngama
Makanisa yote yajitafakari?Yule sio yesu,ni wahuni waliingizi so makanisa yanayo tumia izo picha wajitafakari
Sio makanisana yote yanayo tumia iyo pichaMakanisa yote yajitafakari?
Wamebadilishana na yule mwanamuziki aliyefunga ndoa kule Mbezi kama sijakoseaMshambuliaji wa klabu ya Yanga Clement Mzize amebadili dini na kuwa muislamu hii leo mbele ya Kaimu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Walid Alhad Omari, ikiwa ni siku ya kwanza ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Mzize kwa sasa atakuwa akitumia jina la Walid Mzize.
Ramadhan Kareem
View attachment 2562549
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hapo anataka kuoa hapo binti wa kiislam
Yale mambo ya Ben Pol ndio kama hayo.
Ama msanii Barnaba
Wakiachana tu mtu anarudi kwenye dini yake
Yesu wa Kenya alisema wanchangie mabati ya kuezekea🤣Makanisa yote yajitafakari?
ZINGATIENI HILI ANDIKO WADAU.Hahahahaha daah oya mwandishi kachukua head katunga habari any way ni baba yake jamani sio yeye
( فَأَتَتْ بِهِ قَوْمَهَا تَحْمِلُهُ ۖ قَالُوا يَا مَرْيَمُ لَقَدْ جِئْتِ شَيْئًا فَرِيًّا )Tupe mstari mmoja uliokufanya wewe useme Issa alayhi salaam siyo Yesu alayhi salaam.
Ungemsoma Issa kwenye Qur'an usingebaki kizani, ungeiona Nuru ya Allah. Muone mwenzako huyu...
.
Hakuna baya lolote linaloweza kukukuta kwa kuifata haki, hata washirikina huwa wanafanikiwa kwenye ushirikina na wanadhurika wakiuacha lakin hamna namna inabidi uachane na ushirikina tu.Binafsi nadhani kubadili dini kuna maana zaidi kama una changamoto ngumu za kimaisha mfano magonjwa, mikosi, nk. ambazo umekaa muda mrefu na kupitia dini yako umeshindwa kuzitatua. Hapo unaweza kujaribu upande wa pili.
Ila kama umefikia mafanikio fulani ukiwa katika dini fulani halafu kwa mihemko, tamaa au kujaribu kuridhisha mtu au watu fulani ukashawishika kubadili dini, kuna mabaya yanaweza kuja kukukuta huko mbele yatakayoteketeza kila ulichofanikiwa.
Huo ni mtazamo wangu tu.
Ndiyo point yangu kwamba aliyekupa mafanikio kaa naye huyo huyo unless una sababu ya msingi sana ya kuhamisha majeshi.Hakuna baya lolote linaloweza kukukuta kwa kuifata haki, hata washirikina huwa wanafanikiwa kwenye ushirikina na wanadhurika wakiuacha lakin hamna namna inabidi uachane na ushirikina tu.
Kamuulize kama alikuwa hali kitimoto pale CCMUshahidi unao