Ajuza usiye jielewaHaya, nifundishe ukristo. Wewe kanisa lipi?
Umemuona kakatwa kichwa?waombee kwa Allah waweze kusimama imara katika dini ya haki. Hivi mtu akiritadi huwa anakatwa kichwa? Kuna jamaa mmoja sheikh sheikh, sijui Hamza Issa vile, siku hizi anaitwa Nabii Ilyas 😂
Salama Alhamdulillah , naona furaha tele na kunicheka na mimi nakucheka kwa dharau nitakutafuta siku za karibuni InshaAllah.Salaaam ndug yangu[emoji16][emoji16][emoji23][emoji2960]
Ramadan Kareem[emoji86][emoji86]
Sio Yanga ni GSMKwani Yanga ndiyo walimlazimisha awe Muislam?
Maskini baaasi tena....nyota imeshazima hiyo.Mshambuliaji wa klabu ya Yanga Clement Mzize amebadili dini na kuwa muislamu hii leo mbele ya Kaimu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Walid Alhad Omari, ikiwa ni siku ya kwanza ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Mzize kwa sasa atakuwa akitumia jina la Walid Mzize.
Ramadhan Kareem
View attachment 2562549
Ataenda kwa makahaba huko umbumbuni.Kwa hiyo akitemwa utopoloni atarudi dini yake Sio?
Kapombe kazaliwa kwenye Ukristo na mpaka sasa yupo kwenye Ukristo.Ni uamuzi wake, ni maisha yake. Hata Shomari Kapombe naye tulisikia amebadili dini. Hivyo binafsi sioni kama kuna tatizo, zaidi ya kumtakia tu heri kwenye imani yake mpya.
Ma shaa Allah, kama GSM wamemtoa kizani na kumuonesha nuru tunasema Allahu Akbar.Sio Yanga ni GSM
Hapo umesema sawa, kwani hakuna anaezaliwa mkristo. Wanaozaliwa kwenye ukriisto ni wengi tu lakini wanapozaliwa wanazaliwa Waislam, si wakristo.Kapombe kazaliwa kwenye Ukristo na mpaka sasa yupo kwenye Ukristo.
Ulikuwepo wakati anafosi?GSM bhana kaamua ku force dogo abadilike
Allah akbarTakbiiir
Hasara kwakoAmemkataa Kristo kuwa Bwana na mwokozi wake!! Hasara iliyoje mbinguni ni huzuni kubwa
Hivi Isa , ndo yule aliyezaliwa chini ya mtende? Naskia pia hakusulubiwa?Umeshawahi Msoma Issa kwenye Qur'an?
Sema basi Yesu siye Jesus pia.
Elimu huna.Yesu siyo Issa usichanganye
Unasikia kwa nani?Hivi Isa , ndo yule aliyezaliwa chini ya mtende? Naskia pia hakusulubiwa?
Quaraan 19:22-26 inasema Isa alizaliwa chini ya Mtende na imeandikwa miaka 500 Baada ya Yesu.Unasikia kwa nani?
Jwani ndo nini?Jwani maana ya kusulubiwa ni nini?
Je unazaliwa na kuwa muislam bila kushahadia? Je unaweza kuwa muislam bila kufuata nguzo za uislam? Quran inasema muislam wa kwanza ni nani na ili uwe muislam unatakuwa ufanyaje?Hapo umesema sawa, kwani hakuna anaezaliwa mkristo. Wanaozaliwa kwenye ukriisto ni wengi tu lakini wanapozaliwa wanazaliwa Waislam, si wakristo.