Studio ya Msanii Barnaba yawaka moto Mwananyamala, hakuna kilichopona

kwa neena na baraka za Mungu, hili nalo litapita kwa amani.🤭
 
Kwa nini anasema anamshukuru mungu kwa baraka? Kuunguliwa moto ni baraka?
Alafu anasema "Mungu wangu wa Mbinguni, nashukuru kwa hili"

Barnaba si alishabadilisha dini na kuwa Muislamu, sasa hiyo "Mungu wa mbinguni" mbona naona ni quotation flani ya kikristo flani hivi... Au labda mi ndo sijui maana sijawahi kumsikia Shekhe au kiongozi yoyote wa kiislamu akitamka neno "Mungu wa mbinguni"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…