SUA badilikeni, achaneni na Panya imetosha

Naishi hapa SUA. Wasalimie Ma-Profesa Msanya, Mahoo, Dr. R.Salanga n. k, waambie nipo hapa baa ya Kambarage namenya balimi,nawe pia karibu tuzimenye[emoji1787][emoji1787]
Kambarage maeneo yangu hayo ya kujidai.Hapa SUA unajishugulisha na Nini?
 
Kama issue ingekuwa tu vyuo vinavyofundisha ualimu na wahadhiri wanaofundisha ualimu basi pasingekuwa na huo upungufu wa Walimu wa Sayansi!

Kama vyuo vipo, na wahadhiri wapo, and still kuna upungufu basi huo ni ushahidi tosha kwamba kuwepo kwa vyuo hivyo na wahadhiri hao peke yake sio suluhisho!!

Aidha, huu ulikuwa ni mkakati maalumu wa kuongeza walimu wa sayansi, na kwa maana nyingine, hata idadi ya wanafunzi wa kwenda kusomea ualimu wa sayansi ilitakiwa kupanda maradufu!!

Na kama idadi ya wanafunzi ilitakiwa kupanda maradufu, ina maana pia kulikuwa na ongezeko la mahitaji ya wahadhiri wa masomo ya sayansi! Na suala la idadi ya wanfunzi kuongezeka maradufu lilikuwa linaonekana wazi pale serikali ilipokuwa inatoa motisha ya mkopo kwa 100% na guarantee ya ajira!

Sasa kama tayari kuna uhaba wa walimu wa sayansi kwa level ya secondari, hivi ulishawahi kujiuliza hao wahadhiri wa kutosha wa masomo ya sayansi huko vyuo vikuu wangetokea wapi??!!

Ukitafakari hayo, utakuja kuona over 75% ya wahadhiri wa SUA (kama sio 90% kabisa) wana background ya masomo ya sayansi, na bado wanafundisha masomo ya sayansi kupitia hizo coz' za kilimo!

Kwa maana nyingine, kumbe tayari SUA kuna lecturers ambao majority background yao ni masomo ya sayansi, na bila shaka wanao uwezo wa kufundisha hayo masomo!! Sasa je, hivyo vyuo vingine mahitaji makubwa ya hao wahadhiri wange-handle vipi?!
 
[emoji38][emoji38],wasalimie Ma-Profesa Mahoo na Msanya. Pia Dr. Raymond Salanga.

Bado nipo hapa baa ya Kambarage nazimenya Balimi kwa kwenda mbele.

Karibu tusongeshe maisha,au Mugroo wamefyonza fedha zako?

Upo Main Campus au Solomon Mahlanga/Mazimbu?

Hivi Chini ya Mti bado ipo au ilishapoteaga?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sikutarajia hao mabeberu wangeipa credit sua, in fact hiyo project ime fadhiliwa na hao mabeberu.

Hivi serikali yetu sijui ina kwama wapi?? Kwann wasiwe wanatenga fungu kwa ajili ya tafiti?
 
Kama zipo tafiti nyingine mbona hazisikikii ?? Mimi uwa nasikia panya, panya tu
Uelewa wako juu ya SUA ni mdogo sana sana, kajisomee uijue vizuri au uliza walioko huko alafu urudi tena. Sasa SUA wanaingiaje kwenye uranium na mabomu tena? mbona huo mradi wa panya ni kiduchu mno hapo SUA? Ujue pia serikali haitoi hela za kufanya tafiti wala kusomesha wanafunzi kwa ngazi za shahada ya uzamili na uzamivu, hayo yote yanategemea wafadhili.
 
SUA hawataona huu ni ushauri,ni kweli kwa dunia ya leo kufanya utafiti wa panya sijui atambue nini,ni uzembe wa kiwango cha lami;
ningesikia wana-design sensors kwa ajili ya utambuzi wa magonjwa mbalimbali sawa,ila panya hapana;
Hiyo fund iko wapi?
 
Huo mradi wanausimamia wenyewe mabeberu wanaotoa hiyo pesa. SUA ni mwenyeji wao tu, na pia wana umuhimu mkubwa ila kwa kuwa mna uelewa mdogo mmebaki kukebehi tu. Hao wazungu na teknolojia zao zote wanawategemea sana mbwa kwenye sniffing, angalia airport zao zote, wanyama hawa wana uwezo mkubwa sana haswa wakifanya kazi kwa pamoja na teknolojia.
 
Umejuaje kuwa wanaojibu ni academician wa SUA na si vinginevyo?
 
Hizo rankings zina "usiasa" ndani yake.
Kuna vyuo Kama SUA na Nelson Mandela ni level nyingine kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…