SUA badilikeni, achaneni na Panya imetosha


Aisee umeongea point sana na hicho ndicho tunachokizungumza, tafiti yoyote lazima iwe na impact kwenye society sasa wanasema panya anaweza tambua covid 19 ni wapi umepita ukakuta tunatumia panya kutest covid 19 zaidi ya kutumia tesing kits hizo tulizopimia oil chafu na mapapai
 
Ni wakati sasa wa kuwaambia SUA badala ya kutrain Panya zaidi ambao hatuwatumii popote wajikite kwenye kugundua mabomu ambayo tutayauza au wajikite kwenye kufanya tafiti tunawezaje kutumia uranium iliyopo kule Dodoma kuzalisha nguvu za Nyuklia
Nafikiri kuna mahali hujachuja vizuri unachotaka kuongea, hujatambua vizuri subject matter unayotaka kuiongelea:

Duniani kooooote panya bado ni kiumbe muhimu kwenye utafiti- hana mbadala. Kumbuka kuwa mambo ya kuzalisha nishati kutikana na uranium haiko kwenye INSTRUMENT ya SUA
 
Ndiyo hatua ya kwanza ya utafiti.

Dawa nyingi huanzia kwenye panya.

Onaa, kwa mtafiti, mwalimu, mwanafunzi mwenye science project anayehitaji panya wa majaribio kwa Nyanda za juu kusini tuwasiliane 0734189022. Kwa sasa Mbeya

Ndimi
Mtafiti wa kujitegemea πŸ’ͺ
 
Mnachemsha sana
Wenzetu AI Artificial intelligence inatibu cancer kwa sasa na mambo mengi
Jamani tumeni vijana wakasome ila wasizamie kama wanenguaji wa diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…