SUA badilikeni, achaneni na Panya imetosha

SUA badilikeni, achaneni na Panya imetosha

Jamaa umetokwa povu sio la nchi hii au ndio unawalisha hao panya hapo SUA unaona kama tunakusagia kunguni.. 😂😂😂😂... tuambie wewe unaowalisha hiyo impact maana tunapokwenda kutest COVID 19 hatuwaoni hao panya wako tunatumia testing kits kutoka

Tunaona ni ajabu kwa sababu hata kama tafiti itaonyesha kweli panya hao wanaweza kugundua kitu fulani hawana Msaada mwishoni. Kwa mfano walisema wanao panya wanaogundua makohozi yenye vimelea vya TB, ok niambie Sasa ni hospitali gan Tanzania hii wanatumia hao panya kwenye maabara zao kupima TB? Fanyia tafiti Jambo ambalo litakuwa applicable iwapo utafiti huo utakamilika ili kuwa Msaada kwa Watanzania lkn sio utafiti ambao ukifanikiwa unakuwa hauna faida kwa taifa. Ndio mtoa mada anasema tuachane na tafiti za Aina hiyo na wawekeze nguvu kwenye tafiti nyigine ambazo najua zipo wanazifanya na zinafaida km ilivyo chanjo ya mifugo
Aisee umeongea point sana na hicho ndicho tunachokizungumza, tafiti yoyote lazima iwe na impact kwenye society sasa wanasema panya anaweza tambua covid 19 ni wapi umepita ukakuta tunatumia panya kutest covid 19 zaidi ya kutumia tesing kits hizo tulizopimia oil chafu na mapapai
 
Ni wakati sasa wa kuwaambia SUA badala ya kutrain Panya zaidi ambao hatuwatumii popote wajikite kwenye kugundua mabomu ambayo tutayauza au wajikite kwenye kufanya tafiti tunawezaje kutumia uranium iliyopo kule Dodoma kuzalisha nguvu za Nyuklia
Nafikiri kuna mahali hujachuja vizuri unachotaka kuongea, hujatambua vizuri subject matter unayotaka kuiongelea:

Duniani kooooote panya bado ni kiumbe muhimu kwenye utafiti- hana mbadala. Kumbuka kuwa mambo ya kuzalisha nishati kutikana na uranium haiko kwenye INSTRUMENT ya SUA
 
Ndiyo hatua ya kwanza ya utafiti.

Dawa nyingi huanzia kwenye panya.

Onaa, kwa mtafiti, mwalimu, mwanafunzi mwenye science project anayehitaji panya wa majaribio kwa Nyanda za juu kusini tuwasiliane 0734189022. Kwa sasa Mbeya
20230928_161711.jpg

Ndimi
Mtafiti wa kujitegemea 💪
 
Mnachemsha sana
Wenzetu AI Artificial intelligence inatibu cancer kwa sasa na mambo mengi
Jamani tumeni vijana wakasome ila wasizamie kama wanenguaji wa diamond
 
Back
Top Bottom