KERO SUA kuna wanafunzi hasa wa 1st year wanateseka sana. Mpaka sasa hawajapata pesa ya kujikimu

KERO SUA kuna wanafunzi hasa wa 1st year wanateseka sana. Mpaka sasa hawajapata pesa ya kujikimu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hapa chuoni Sua Kuna wanafunzi hasa wa first year wanateseka sanaa mpaka sasa hawapata pesa ya kujikimu huku loan officer akiwaambia wawe watulivu watapata pesa.

Screenshot_20260112-112323_Chrome.jpg

Screenshot_20260112-112244_Chrome.jpg

Screenshot_20260112-112228_Chrome.jpg
 
Sema tu vijana wa chuo kabla hamjapata hilo Boom, huwa mnakuwa wapole na kutia huruma sana. Shughuli ni pale mtakapo pata!! Aisee chuoni kwenu na mtaani huwa hakukaliki.
 
Apo SUA niliwahi kusota sana boom lilichelewa nikaanza kuiba mihogo kule kididimo land asee sitasahau
 
Back
Top Bottom