Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
Huu uzi ufungwe na mleta hii post aonyweTaarifa hizi nimezipata kwa rafiki wa karibu aliyeko SUA.
Sijawa na uhakika wa kutosha kuhusu chanzo hiki cha habari . Imenitia Uchungu kwa vile hawa walikuwa watu maarufu kitaaluma na waliotoa mchango kwa maendeleo ya uchumi nchini. Iweje taarifa zao zisisikike au kutangazwa na vyombo vikuu vya habari?