The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Kuna watu wanataka kugeuza issue ya Bandari zetu kuwa ya dini... Kusema kwamba watu hawataki DP world kisa ni waislamu ni upotoshaji mchana kweupe..and cheap politics ujinga na kukosa hoja.
Sisi hatutaki mwekezaji tumkabidhi rasilimali zenu Kwa upendeleo wowote ule. Eti kisa Raisi ni muislamu wawekezaji waislamu wafanye wanavyotaka Big NO NO... Nchi Hii ni ya wantazania walio na wasio na dini
The Same applies to Christians huwezi kugeuza Tanzania kuwa Vatican. Hoja ya msingi hapa ni ulinzi wa Rasilimali zetu Over. Mwekezaji unamkabidhi bandari zenú zooote milele Kwa mashariti maandazi whaaat .
Msitupotezee lengo letu Sisi Huo mkataba wa kindwanzi hatuutaki. Kama ni u dini Mbona Araabs contractors walipewa Tenda ujenzi bwawa la Nyerere hatukulalamika kikubwa ni uwazi kwenye mikataba
Tatizo Hapa mkataba ni Mbovu uliosainiwa kihuni, unakiuka katiba ya jamhuri ya muungano. Mtanzania yeyote ana wajibu wa kulikemea hili swala waziwazi bila kujificha ndo maana na viongozi wa dini nao wametoa Neno....
DP World afanye KAZI alizokuwa anafanya TICS Kwa mkataba wenye maslshi kwa Taifa, Hakuna anayekataa wawekezaji.
Uislamu na ukristo hatuutaki Kwenye issue ya Banari tunataka Utaifa.