Wewe pimbi ndio Mwanzilishi wa mambo ya kipumbafu sasa unajidai nini kuku weweWanaokimbilia udini ni mafisadi wasiokuwa na hoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe pimbi ndio Mwanzilishi wa mambo ya kipumbafu sasa unajidai nini kuku weweWanaokimbilia udini ni mafisadi wasiokuwa na hoja
Uzalendo upi unaoutaka?
Uzalendo wa uchumi au uchumi wa uzalendo? (Kitila Mkumbo).
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Kampeni za kukwepa mjadala kwa kivuli cha udini zinaongozwa na viongozi wa kiislam pia.Mbona kampaini za kupinga mkataba wa bandari zina ongozwa na viogozi wa kanisa katoliki kama kadinari Mpengo. Kampaini ziko wazi wazi ndani ya kanisa katoliki kwa nini?
Sio kweli pimbi weweKampeni za kukwepa mjadala kwa kivuli cha udini zinaongozwa na viongozi wa kiislam pia.
Waislamu hawanaga neno kabisa kwa Waarabu.Ukimya wa viongozi wa kiislamu ni kukosa uzalendo, walipaswa wakemee waziwazi mkataba wa kijuha kama huu
Cha Mittoga ! Acha upuuzi wako pumbafu wewe!Waislamu hawanaga neno kabisa kwa Waarabu.
Wao wanajiona Waarabu.
Nchi hii ingekuwa ya Waislamu wangemwita Mwarabu ili awatawale wanamwona kama Mungu wao.
Hata kule Zanzibar mapinduzi walifanya Watanganyika na Waganda akina John Okelo.
Hata huyo sa100, yuko radhi kuiuza Tanganyika kwa miungu wake. Humwambii kitu.
Anaamini kwa kufanya hivyo ataenda peponi.
Kujipatia Bikra na Pombe.
Nani alifanya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Uelewa wako ?Cha Mittoga ! Acha upuuzi wako pumbafu wewe!
Aliyefanikisha mapinduzi ni John Okelo! wa Uganda. Kwa hiyo unataka Waganda waje kuwekeza Tanzania kwa sababu hiyo! Acha ujinga wako na uelewa wako wa deadly Historic Events pimbi wewe!Nani alifanya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Uelewa wako ?
Zanzibar ilikuwa inatawaliwa milele na Mwarabu.
Hadi leo Wazanzibari wanajutia yale Mapinduzi.
Hawakuyataka kabisa.
Nenda kayafanyie utafiti haya maneno yangu.
Hebu rudia kusoma ulichoandika…Kuna watu wanataka kugeuza issue ya Bandari zetu kuwa ya dini... Kusema kwamba watu hawataki DP world kisa ni waislamu ni upotoshaji mchana kweupe..and cheap politics ujinga na kukosa hoja.
Sisi hatutaki mwekezaji tumkabidhi rasilimali zenu Kwa upendeleo wowote ule. Eti kisa Raisi ni muislamu wawekezaji waislamu wafanye wanavyotaka Big NO NO... Nchi Hii ni ya wantazania walio na wasio na dini
The Same applies to Christians huwezi kugeuza Tanzania kuwa Vatican. Hoja ya msingi hapa ni ulinzi wa Rasilimali zetu Over. Mwekezaji unamkabidhi bandari zenú zooote milele Kwa mashariti maandazi whaaat .
Msitupotezee lengo letu Sisi Huo mkataba wa kindwanzi hatuutaki. Kama ni u dini Mbona Araabs contractors walipewa Tenda ujenzi bwawa la Nyerere hatukulalamika kikubwa ni uwazi kwenye mikataba
Tatizo Hapa mkataba ni Mbovu uliosainiwa kihuni, unakiuka katiba ya jamhuri ya muungano. Mtanzania yeyote ana wajibu wa kulikemea hili swala waziwazi bila kujificha ndo maana na viongozi wa dini nao wametoa Neno....
DP World afanye KAZI alizokuwa anafanya TICS Kwa mkataba wenye maslshi kwa Taifa, Hakuna anayekataa wawekezaji.
Uislamu na ukristo hatuutaki Kwenye issue ya Banari tunataka Utaifa.
Hebu rudia kusoma ulichoandika…
WaTanganyika hatutaki wawekezaji wenye vimelea vya rushwa ubaguzi umwinyi usultan utumwa nukta. Bandari ni ya WaTanganyika sio ya mtawala yeyote.
Pimbi ni yule aliku$&&&aaa nyumbu wewe!Na wewe unayeleta ubaguzi ni boya tuu pimbi wewe
Kitendo cha kutukana unaoneka uelewa wako unaishia hapo.Aliyefanikisha mapinduzi ni John Okelo! wa Uganda. Kwa hiyo unataka Waganda waje kuwekeza Tanzania kwa sababu hiyo! Acha ujinga wako na uelewa wako wa deadly Historic Events pimbi wewe!
Ni ujinga ujinga tuu wa kupinga maendeleo! Hv nikuulize kama wewe binafsi lalamiko lako ni nini! Jana tulikuwa Serena hotel kila kitu mbona tumeweka sawa na kila mtu ameelewaKitendo cha kutukana unaoneka uelewa wako unaishia hapo.
Watu hawalalamikii Waarabu.
Hebu fuatilia wanacho lalamika.
Au endelea kutukana.
Weka PDF ya huo Mkataba hapa tuusome.Ni ujinga ujinga tuu wa kupinga maendeleo! Hv nikuulize kama wewe binafsi lalamiko lako ni nini! Jana tulikuwa Serena hotel kila kitu mbona tumeweka sawa na kila mtu ameelewa
Pimbi wewe kumbe sasa unajadili nini! Hata nikiuweka hapa huwezi kuuelewa kwani hujui kiingereza Fala weweWeka PDF ya huo Mkataba hapa tuusome.
Au tuambie Watanganyika tutanufaika vipi na huo Mkataba.
Tanganyika umeingia mikataba mingi sana ya hovyo. Hadi akina Mkapa wamejuta baada ya kuachia Madaraka.
Hebu tufafanulie manufaa ya huo Mkataba kwa Tanganyika.
Hayo ndio majibu sahihi ya ufafanuzi wa huo mkataba ?Pimbi wewe kumbe sasa unajadili nini! Hata nikiuweka hapa huwezi kuuelewa kwani hujui kiingereza Fala wewe
Ahsante muislamSio kweli pimbi wewe
Kumbe Che mitogga anasema kweliAliyefanikisha mapinduzi ni John Okelo! wa Uganda. Kwa hiyo unataka Waganda waje kuwekeza Tanzania kwa sababu hiyo! Acha ujinga wako na uelewa wako wa deadly Historic Events pimbi wewe!