Suala Bandari tunataka uzalendo wa kitaifa siyo Uislamu na Ukristo

Suala Bandari tunataka uzalendo wa kitaifa siyo Uislamu na Ukristo

Naomba mara hi CCM ikitafuta Raisi mgine baada ya mama 2030 watafute mkristo wa kilokole au msabato tume choka na RC wanafiki wakubwa wana waza kutawala tu sio wengine kuwatawala.
[emoji1787]
 
Mbona kampaini za kupinga mkataba wa bandari zina ongozwa na viogozi wa kanisa katoliki kama kadinari Mpengo. Kampaini ziko wazi wazi ndani ya kanisa katoliki kwa nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki yanani kwani bakwata wamezuiliwa wasiongeee alfu nimalayako ya kwanza kuisikia katoliki na serikali
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki yanani kwani bakwata wamezuiliwa wasiongeee alfu nimalayako ya kwanza kuisikia katoliki na serikali
Deina kama una usingizi bado tulia ndio uandike vizuri, inaonekana una hoja ya udini ila humu Jf Huna nafasi boya wewe!
 
Deina kama una usingizi bado tulia ndio uandike vizuri, inaonekana una hoja ya udini ila humu Jf Huna nafasi boya wewe!
Alfu sikunyingine kagua vizuri ubongo wako ndio unijibu umejaa ushetani tu alfajil badala ya kuswali una waza kutukana

Na wata wainamisha sana subili waje tena wewe ndio utakuwa wakwanza kuinama kenge wewe
 
B

Boya ni tusi wewe kiazi???
 
Alfu sikunyingine kagua vizuri ubongo wako ndio unijibu umejaa ushetani tu alfajil badala ya kuswali una waza kutukana

Na wata wainamisha sana subili waje tena wewe ndio utakuwa wakwanza kuinama kenge wewe
Wewe umeshaanza kuinama sasa hv na dawa ikakuingia sawasawa jike shupa wewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majina yako mazuri Sana Boya Kiazi Burukenge

Good morning Boya Kiazi Burukenge
Deina nakupenda bure nitakukumbuka katika ufalme wangu tukianza kazi Rasmi, kwa sasa osha hicho kinyeo wahi kituoni cha daladala uende huko kibaruani kwako rafiki
 
Tatizo la wabongo hasa wabunge wetu na watawala wanawaza Leo na siyo kesho na jingine izi elimu za kupeana tu ( PhD ) zifutwe tu kunawatu mpaka aibu . Mimi so mwanasheria ila wako wanasheria wengi wenye uwezo wa kusaidia serikali hii . Mimi nimepita Kwa Net tu nikagundua Hawa jamaa washakataliwa marekani huko Sababu ya matakwa( condition of contract) yanakuwa magumu ukipitia vizuri mkataba unagundua wao ndo watamiliki aridhi yote ya hamjui ya muungano wa Tanzania. Yaani bara na visiwani ukiongeza na anga pia. NB: so Kwa ubaya ila wabunge waloenda Dubai hawakuhongwa ila walikuwa na ushamba Kwa lugha ya mtaani walishangaa mitambo tu hawakujua uzito wa mkataba walivyokuja hata uwaeleze vipi wanataswila ya kule wanakuona msaliti , Sawa na kijana wa hovyo ukimwambia mwanamke anatabia mbaya huku yeye sura na shape vishamuingia kichwani mtauana bure.
 
Back
Top Bottom