Suala Bandari tunataka uzalendo wa kitaifa siyo Uislamu na Ukristo

Uzalendo upi unaoutaka?

Uzalendo wa uchumi au uchumi wa uzalendo? (Kitila Mkumbo).

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.

Sasa unaandika vizuri ! Ila ukituliaga una hoja nzuri ila tatizo lako ni mkurupukani sana na kisebengo
 
Mbona kampaini za kupinga mkataba wa bandari zina ongozwa na viogozi wa kanisa katoliki kama kadinari Mpengo. Kampaini ziko wazi wazi ndani ya kanisa katoliki kwa nini?
Kampeni za kukwepa mjadala kwa kivuli cha udini zinaongozwa na viongozi wa kiislam pia.
 
Raia mzalendo namba moja ameshasema bandari zipo salama, hakuna mjadala tena 🐒
 
Ukimya wa viongozi wa kiislamu ni kukosa uzalendo, walipaswa wakemee waziwazi mkataba wa kijuha kama huu
Waislamu hawanaga neno kabisa kwa Waarabu.
Wao wanajiona Waarabu.
Nchi hii ingekuwa ya Waislamu wangemwita Mwarabu ili awatawale wanamwona kama Mungu wao.

Hata kule Zanzibar mapinduzi walifanya Watanganyika na Waganda akina John Okelo.

Hata huyo sa100, yuko radhi kuiuza Tanganyika kwa miungu wake. Humwambii kitu.
Anaamini kwa kufanya hivyo ataenda peponi.
Kujipatia Bikra na Pombe.
 
Cha Mittoga ! Acha upuuzi wako pumbafu wewe!
 
Cha Mittoga ! Acha upuuzi wako pumbafu wewe!
Nani alifanya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Uelewa wako ?
Zanzibar ilikuwa inatawaliwa milele na Mwarabu.
Hadi leo Wazanzibari wanajutia yale Mapinduzi.
Hawakuyataka kabisa.
Nenda kayafanyie utafiti haya maneno yangu.
 
Aliyefanikisha mapinduzi ni John Okelo! wa Uganda. Kwa hiyo unataka Waganda waje kuwekeza Tanzania kwa sababu hiyo! Acha ujinga wako na uelewa wako wa deadly Historic Events pimbi wewe!
 
Hebu rudia kusoma ulichoandika…
WaTanganyika hatutaki wawekezaji wenye vimelea vya rushwa ubaguzi umwinyi usultan utumwa nukta. Bandari ni ya WaTanganyika sio ya mtawala yeyote.
 
Hebu rudia kusoma ulichoandika…
WaTanganyika hatutaki wawekezaji wenye vimelea vya rushwa ubaguzi umwinyi usultan utumwa nukta. Bandari ni ya WaTanganyika sio ya mtawala yeyote.

Na wewe unayeleta ubaguzi ni boya tuu pimbi wewe
 
Aliyefanikisha mapinduzi ni John Okelo! wa Uganda. Kwa hiyo unataka Waganda waje kuwekeza Tanzania kwa sababu hiyo! Acha ujinga wako na uelewa wako wa deadly Historic Events pimbi wewe!
Kitendo cha kutukana unaoneka uelewa wako unaishia hapo.

Watu hawalalamikii Waarabu.
Hebu fuatilia wanacho lalamika.

Au endelea kutukana.
 
Kitendo cha kutukana unaoneka uelewa wako unaishia hapo.

Watu hawalalamikii Waarabu.
Hebu fuatilia wanacho lalamika.

Au endelea kutukana.
Ni ujinga ujinga tuu wa kupinga maendeleo! Hv nikuulize kama wewe binafsi lalamiko lako ni nini! Jana tulikuwa Serena hotel kila kitu mbona tumeweka sawa na kila mtu ameelewa
 
Ni ujinga ujinga tuu wa kupinga maendeleo! Hv nikuulize kama wewe binafsi lalamiko lako ni nini! Jana tulikuwa Serena hotel kila kitu mbona tumeweka sawa na kila mtu ameelewa
Weka PDF ya huo Mkataba hapa tuusome.
Au tuambie Watanganyika tutanufaika vipi na huo Mkataba.

Tanganyika umeingia mikataba mingi sana ya hovyo. Hadi akina Mkapa wamejuta baada ya kuachia Madaraka.

Hebu tufafanulie manufaa ya huo Mkataba kwa Tanganyika.
 
Pimbi wewe kumbe sasa unajadili nini! Hata nikiuweka hapa huwezi kuuelewa kwani hujui kiingereza Fala wewe
 
Pimbi wewe kumbe sasa unajadili nini! Hata nikiuweka hapa huwezi kuuelewa kwani hujui kiingereza Fala wewe
Hayo ndio majibu sahihi ya ufafanuzi wa huo mkataba ?
Sasa hivi Watanganyika tumeamka na msiendelee kutuchokoza zaidi, tutakutimueni mkabanane huko kwenu Zanzibar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…