Suala la Achraf Hakimi na Mke wake: Watu ni wepesi kuongea, hawataki kufanya reasoning

Hapa nimemkumbuka Jack wa Mengi.
 
Kwa sababu kamzalia inabidi amfikirie mwenzie... na ndoa za kuishi Kwa kuviziana hivi si poa hata kidogo. Tusiingie kwenye ndoa Kwa sababu ya vitu Fulani... hivi tumekosa upendo kiasi hiki?
Wanawake mnavyoongea mtu asiyewajua anaweza kuwaonea huruma.
 
Hakim amesaini mali zake kwa jina la Mama before hata hajaingia kwenye maisha ya ndoa na huyo dada jamaa kawa na hela nyingi akiwa tu ana miaka 18 pekee kwa hiyo hoja yako imekosa mashiko
 
Mimi nimekaa palee..nawaangalia tu wanaomshabikia!
 
Mimarioo ya kibongo nayo inazungumza na kushabikia alichokifanya Hakimi jamani?

Nimeona hata insta kwa Hakimi, imejaa huko eti inamsifia, mengine yanaandika kiswahili kabisa! Ovyoo sana
witnessj Dada let tell you something Hakim anafaa kupongezwa pamoja na Mama yake hasa Mama yake kwasababu Hakim kaanza kushika hela nyingi tangu akiwa ana miaka 17 na taratibu za soka za ulaya ukiwa na Huu umri mtu ambaye atayehusika na mikataba yako ni familia yako so kea Hakim yeye alikuwa nyuma ya Mama ndio maana pesa asimilia 80 ya mishahara wake zilikuwa zinaingizwa kwenye account ya Mama kwa sababu Hakim alikuwa bado mdogo so hata mali zake zingine akawa unaweka under mama name.Utaratibu huo ameendelea nao mpaka mpaka sasa akiwa teyari ni mkubwa kiumri na hajaubadilisha.Amekuja kuingia kwenye ndoa akiwa teyari ni tajili so anavyokuja kuniambia kwamba wagawane nusu kwa nusu hii kwako imekaa poa na ni haki? kijana alitokea maisha ya chini Sana mpira ndio umekuja kumtoa na sio kwamba Hakim haprovide kitu hapana kwa sababu 20 percentage ya mishahara ndio unatumika kuhudumia familia.Kama mkewe anajielewa na hana tamaa imekuaje aombe wa gawane mali nusu kwa nusu? Kwanini asingeishia kuomba talaka na kudai child support pekee? Na kwanini adai talaka kipindi Mumewe anatuhumiwa kwenye scandal ya kubaka kwenye tuhuma ambayo mahakama haijadhibitisha hayo madai? Na hakuishia hapo huyu bibie akiwa anafanyiwa interview kwenye media akasema yeye hawezi kuishi na mume mkabaji ebu nikuulize wewe kama kweli unampenda Mme wako Unaweza ukajibu kitu kama hicho Tena kwenye media?
 
Yani wewe kwa Akili yako Unadhani hakimi na wanasheria Wake walikuwa hawajawaza Hayo unayoyawaza???

Trust me, kesi inayokuja ni nyepesi sana...

Na Wanawake vikaragoso mnaotafuta Kuiba Mali za wenzi wenu mtaishia Kuhaibika.

Kwanini msitafute zenu?
Au ni kwanini usililie matunzo ya Watoto???


Unataka Mgawanyo wa Mali ipi?

Wewe uliingia Dimbami kucheza??

Acheni uzumbukuku wa kutaka Vya Bure
 
Kinachofuata ni mke wake kumpa hakimi nusu ya mali zake,imeisha hio
 
Hapana huyu dada ni opportunist...maana kwa u gold digger so ana hela zake yule[emoji848]

Mkuu nimekuelewa!
 
Umeongea kama mwanasheria wa mke wake

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Kwa sababu kamzalia inabidi amfikirie mwenzie... na ndoa za kuishi Kwa kuviziana hivi si poa hata kidogo. Tusiingie kwenye ndoa Kwa sababu ya vitu Fulani... hivi tumekosa upendo kiasi hiki?
Tahadhari kabla ya hatari, moyo wa mtu ni kichaka na watu wanabadilika.
 
Story yake ikoje mkuu?
 
Ma gold digger na ma feminist uchwara mmepigwa na kitu kizito sana baada ya mwenzenu kuambulia patupu
 
Hapo kisheria anatakiwa kwanza kumrudishia mahari hakimi alafu aende zake
 
Kumbe mshahara wa mtu ni mshahara wa familia, hata ukitaka kunywa bia ..mkae kama familia?!!

Kama ndio, naungana na wanaosema ndoa ni utapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…