Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
πNa wanaume wote tupo tayari kumtetea....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πNa wanaume wote tupo tayari kumtetea....
Je hiyo 50/50 Hakim naye atapata mgao wa mdada? Au hiyo inakata kwa mume tuu?Kama kawaida Yetu wazee wa kuruka na Track!
Yes....tunaruka na story balaa!
Kuna vipawa hatuna ila sio kwenye trending issues!
Yani kikubwa huwa ni headline tu, story tunaandika wenyewe!
Ukisikiliza simulizi ya ajali toka kwa watu watatu tofauti na wewe unaibuka na story yako!
Ndio ni ka mfumo ka maisha tulikojichagulia na kana burudani yake sana tu! Nieleweke Sina tatizo na hilo maana waumini tupo wengi! Tena wengi sana, ila nina shida ni namna tunavyoshupalia mambo kwa kutake sides easily!
Ndio.... nazungumzia u-team kwenye kila jambo! Hujanipata bado? Nataka kuzungumzia sakata la 'Dogo' Achiraf Hakimi kidogo tu! Kuna wana wameanza kusema mwamba ajengewe sanamu! Kuna wadau wameanza kulalama mshikaji kuwa ni mtoto wa mama (mamaz boy)
Kuna wana wamezua utani wa Jamaa ametuwakilisha vema wanaume! Na kuna wana wanasema ndio dawa ya wadada wanaoanzisha mahusiano ili kuchuma mali! Mimi nitazungumzia hili la mwisho! Ni nani amewaambia ex wake hakuwa na pesa!?
Ni nani amesema ex wake alifata pesa! Anyway, Chukua dakika chache tu m-google mwanamama Hiba Abouk! Ni yeye ex wa 'Dogo' Hakimi!
Utaona Hiba kamzidi Hakimi miaka 12.... Yes miaka 12... she is now 36 years old na dogo ndo kwanza ana miaka 24. Kumbukumbu zinatuambia 'sister' HIBA kazaliwa Oktoba 1986 (miezi kadhaa baada ya goli la mkono la marehemu Diego Maradona)
Wakati kumbukumbu hizo hizo zinatuambia Hakimi kazaliwa November, 1998 (miezi kadhaa baada ya Zinedine zidane kuwaua Brazil).
Nitaruka mengine!
2008 Hakimi akiwa na miaka 10, Hiba ambae alikuwa na miaka 22 alikuwa anaigiza pale Hispania.
Kwa uchache tu unaambiwa kahusika kwenye El syndrome ya 2008, la isla 2010, Cheers 2011, Con el Culo 2012, pegada 2012, Aire 2013, el corazon 2014, tere bluee 2014, el principe 2016, tiempo 2017, malek 2019, Caribe 2020 na madres 2021. Which means she has been working!
Au ndo tunadhani waigizaji wa kule pato lao ni la kwenye 'max na zembwela'???
Namaanisha nini Hiba hana njaa ya pesa! (ingawa anaweza asiwe tajiri)
Geukia Couple yake na Hakimi!
Mahusiano yake na hakimi yaliwekwa wazi 2018, yes Hakimi akiwa ndo kwanza ana miaka 20 (hapa unaweza ukaelewa kwanini mama anatajwa kwenye hakimiliki za dogo hakimi). He was so young!
To cut the story short, Hakimi ni mmoja wa wachezaji ambao kwa umri wake kabahatika kuwa na Profile kubwa kweli kweli (Kapita Real Madrid, kacheza Dortmund, Inter Milan na sasa PSG)
Tufupishe stori UNIELEWE!
wameoana 2020.
Katika ndoa yao wamepata watoto wawili.
Mmoja 2020.
Mwingine 2022.
Zogo na Saga za kutengana zimehit 2023.
kabla mwanetu Hakimi hajapata ile Scandal ya ubakaji
Tuiweke kando maana sitaki kutake sides pia!
Mama akathibitisha wametengana!
Hapa ndipo jamii yetu ya Soka ikatake side sasa!
Kimsingi ni kawaida mahusiano yanapofika mwisho yanakuwa na wafuasi wa tulijua, tulikwambia n.k
Ila nachoona si haki ni namna wengi wanavyomchukulia kama Bi Hiba alikuwa anadanga ama alifata pesa!
Yeye na Hakimi ni familia ambayo tayari ina watoto wawili
Kuwalinda watoto na kuhitimisha ule muunganiko wao ilikuwa lazima sheria ihusike!
Najua ni bhati mbaya Hakimi ana support kubwa kwny footbal industry kuliko Bi. Hiba! Wachache wana muda ni mambo ya filamu!
ila niulize maswali machache!
Kwa kutengana kule na wana watoto wawili tulitegemea mtalaka wake asiombe mgawanyo wa mali??
Ni nani anapinga nguvu ya 'companiship' kwenye utafutaji??
Sheria inampa mtalaka nafasi ya kuomba nafuu zipi bila kujali kama atazipata?
Nimekusudia kusema nini!??? Lengo ni kusema wagapi tumewaza madhara ya talaka (divorce)?
NB: Dini na Sheria zina-discourage sana Divorce! Tchao
Hakim hana kitu, huyo dada atoe 50 kwenye mali zake ampe Hakim.π©ββοΈπ©ββοΈπ©ββοΈπ©ββοΈπ©ββοΈπ©ββοΈπ©ββοΈπ©ββοΈπ©ββοΈπ©ββοΈπ©ββοΈπ©ββοΈπ©ββοΈπ©ββοΈ
βοΈβοΈ βοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈ
ππππππππππππππ
This is not right at all.. Yes, things may have happened that leads them to divorce. But she is a human being, who sacrificed 2years of her life with Hakimi. She gave him something everyone human being needs, companionship. She deserves to leave with something.
Not even 50/50 even 25/50
Kumbe dada yuko vizuri. Ampe Hakim 50% ya mali zake maana mchizi hana kitu.Baada ya Mahakama kutamka kuwa Hakimi hamiliki pesa wala mali yoyote, Hakimi akaanza ku trend mitandaoni. Watu wakampatia sifa zenye rangi, harufu na maumbo yote.
Ikumbukwe kwamba, suala hili halijaisha wakati ndiyo kwanza game ipo mapumziko.
Inathibitishika kuwa Hakimi ni muajiriwa, hivyo basi chini ya jina lolote ambapo hela na mali zake zinaenda kuhifadhiwa inakuwa ni salama kwa masuala mengine ya kisheria lakini si kwa mke wake.
Kesi itakayofuata, Hakimi anaweza akahitajika kutoa maelezo ni wapi ambapo pesa na mali alizozipata kutokana na kazi yake amekuwa akizipeleka, maana pesa ile ni mali halali ya familia yake, inakuwaje familia ijikute haina umiliki wa kitu chochote kile?
Vyovyote itakavyokuwa, kesi itakayofuata itamuweka Hakimi mahala pabaya zaidi. Mama yake atahitajika kuelezea chanzo cha mapato cha pesa na mali zilizo chini ya jina lake.
Hii kesi ya kwanza imeishia hapo na ndiyo ina-trend kwa sasa, ila kesi ya pili nabashiri itakuwa mbaya zaidi na huenda Hakimi akajikuta mahala pagumu kuliko Emmanuel Eboue.
π π π π ππ€£π€£ mlivyo na roho mbaya sasa. Msikilize muhuni mwenzako hapo. Which gender doesn't contribute to societyπ€£π€£π€£ but you feel entitled to praises and wealth. Selfish confused gender.
Je akisema pesa yote alikuwa anakulabata pamoja na kuilisha familia.Baada ya Mahakama kutamka kuwa Hakimi hamiliki pesa wala mali yoyote, Hakimi akaanza ku trend mitandaoni. Watu wakampatia sifa zenye rangi, harufu na maumbo yote.
Ikumbukwe kwamba, suala hili halijaisha wakati ndiyo kwanza game ipo mapumziko.
Inathibitishika kuwa Hakimi ni muajiriwa, hivyo basi chini ya jina lolote ambapo hela na mali zake zinaenda kuhifadhiwa inakuwa ni salama kwa masuala mengine ya kisheria lakini si kwa mke wake.
Kesi itakayofuata, Hakimi anaweza akahitajika kutoa maelezo ni wapi ambapo pesa na mali alizozipata kutokana na kazi yake amekuwa akizipeleka, maana pesa ile ni mali halali ya familia yake, inakuwaje familia ijikute haina umiliki wa kitu chochote kile?
Vyovyote itakavyokuwa, kesi itakayofuata itamuweka Hakimi mahala pabaya zaidi. Mama yake atahitajika kuelezea chanzo cha mapato cha pesa na mali zilizo chini ya jina lake.
Hii kesi ya kwanza imeishia hapo na ndiyo ina-trend kwa sasa, ila kesi ya pili nabashiri itakuwa mbaya zaidi na huenda Hakimi akajikuta mahala pagumu kuliko Emmanuel Eboue.
Hapa wanaume tuna cha kujifunza...Dada angekuwa na akili angerudisha mpira kwa kipa, maana ameshajulikana yeye shida yake ni mali
Hivi mtu akikuuliza kwanini huna pesa utamjibu nini?Kwamba serikali inaweza kukuhoji unatumia Vipi pesa za mshahara na kwanini huna akiba?[emoji276]ama mimi ndio sijaelewa
Je huyo dada kakabidhi Mali zake mahakamani ili nazo zipigwe pasu maana nazo ni Mali za wanandoa au ndo ule msemo wa changu chagu chako chetu?Kwa mara ya kwanza nimesoma comment ya mtu aliyeweka nyama kwenye point.
Kuna wengi waliosema umetuheshimisha watarejea mawazo yao wakisoma comment yako.
Nikiwa kama baba wa mtoto wa kike, kaka kwa dada zangu wakuzaliwa nao, mjomba kwa mabinti wengi tuu, nisingemnyooshea kidole huyo mwanamke kwa nisiyoyajua. Kitu pekee tunachokijua wote hapa ni kua ameshindwa kesi ya kudai mali zilizopatikana kipindi cha ndo, ambayo ni haki kisheria.
Kwanza ni kwasababu ilikua ndoa halali
Pili, hiyo ndoa haikuletwa na njaa ( at least we know her status before marriage ). Huyo mwanamke hakwenda kwa hakimi kwasababu ya njaa.
Kingine ni kwamba kiini cha talaka yao sikijui, inawezekana kabisa ikawa immaturity ya huyo kijana.
Mwisho kabisa ni talaka halali na familia ina watoto, anayesema umetuheshimisha probably angefanya the same, kama angekua wakike.
Ninachojua ni kua wakati wanaanza mahusiano dada hakua mchovu financially, na huyo kijana hakua level aliyopo sasa. Kingine nunchokijua ni kua vinavyopatikana kipindi cha ndoa ni halali ya wanandoa wote. Mengine nitawaachia wajuaji.
Yule baba mwingine anataka mabinti zake wakachume na kutapeli kwa waume zao kisa Sheria imewapa upendeleoUna akili mno. Wewe ni baba bora mzee mwenzangu
Absolutely trueKwa sababu kamzalia inabidi amfikirie mwenzie... na ndoa za kuishi Kwa kuviziana hivi si poa hata kidogo. Tusiingie kwenye ndoa Kwa sababu ya vitu Fulani... hivi tumekosa upendo kiasi hiki?
Hili swali limeanza kuulizwa muda aisee wala halijibiwi wanarukaruka tu lakini sio shida zetu kurukaruka kwa maharage ndo kuiva kwakeJe huyo dada kakabidhi Mali zake mahakamani ili nazo zipigwe pasu maana nazo ni Mali za wanandoa au ndo ule msemo wa changu chagu chako chetu?
Habari yenyewe Haina ukweli wowote na ni ya kutunga tu.Baada ya Mahakama kutamka kuwa Hakimi hamiliki pesa wala mali yoyote, Hakimi akaanza ku trend mitandaoni. Watu wakampatia sifa zenye rangi, harufu na maumbo yote.
Ikumbukwe kwamba, suala hili halijaisha wakati ndiyo kwanza game ipo mapumziko.
Inathibitishika kuwa Hakimi ni muajiriwa, hivyo basi chini ya jina lolote ambapo hela na mali zake zinaenda kuhifadhiwa inakuwa ni salama kwa masuala mengine ya kisheria lakini si kwa mke wake.
Kesi itakayofuata, Hakimi anaweza akahitajika kutoa maelezo ni wapi ambapo pesa na mali alizozipata kutokana na kazi yake amekuwa akizipeleka, maana pesa ile ni mali halali ya familia yake, inakuwaje familia ijikute haina umiliki wa kitu chochote kile?
Vyovyote itakavyokuwa, kesi itakayofuata itamuweka Hakimi mahala pabaya zaidi. Mama yake atahitajika kuelezea chanzo cha mapato cha pesa na mali zilizo chini ya jina lake.
Hii kesi ya kwanza imeishia hapo na ndiyo ina-trend kwa sasa, ila kesi ya pili nabashiri itakuwa mbaya zaidi na huenda Hakimi akajikuta mahala pagumu kuliko Emmanuel Eboue.
Kijana anayo haki ya kudai mgawanyo kwenye zilizopatikana kipindi wakiwa pamoja, kama anavyofanya mwenzie tu.Je huyo dada kakabidhi Mali zake mahakamani ili nazo zipigwe pasu maana nazo ni Mali za wanandoa au ndo ule msemo wa changu chagu chako chetu?
Kwani akisema tunatumia mpaka zinaisha kunashidaBaada ya Mahakama kutamka kuwa Hakimi hamiliki pesa wala mali yoyote, Hakimi akaanza ku trend mitandaoni. Watu wakampatia sifa zenye rangi, harufu na maumbo yote.
Ikumbukwe kwamba, suala hili halijaisha wakati ndiyo kwanza game ipo mapumziko.
Inathibitishika kuwa Hakimi ni muajiriwa, hivyo basi chini ya jina lolote ambapo hela na mali zake zinaenda kuhifadhiwa inakuwa ni salama kwa masuala mengine ya kisheria lakini si kwa mke wake.
Kesi itakayofuata, Hakimi anaweza akahitajika kutoa maelezo ni wapi ambapo pesa na mali alizozipata kutokana na kazi yake amekuwa akizipeleka, maana pesa ile ni mali halali ya familia yake, inakuwaje familia ijikute haina umiliki wa kitu chochote kile?
Vyovyote itakavyokuwa, kesi itakayofuata itamuweka Hakimi mahala pabaya zaidi. Mama yake atahitajika kuelezea chanzo cha mapato cha pesa na mali zilizo chini ya jina lake.
Hii kesi ya kwanza imeishia hapo na ndiyo ina-trend kwa sasa, ila kesi ya pili nabashiri itakuwa mbaya zaidi na huenda Hakimi akajikuta mahala pagumu kuliko Emmanuel Eboue.
πππ can't give a valid point aren't you! Stop entitlement this gender, you are humans as humans oo! You're birthed, you live then you die, so that's just life. No one is special! Live you're life by T.I featuring Rihanna.π π π π π
Emmanuel mweusi mwezetu walizaa watoto wa tatu, na Wala hakuonewa huruma, kwa hiyo mi naona hakimi kafanya vyema, kubaka au kesi kitu gani ndo uombe talaka, kafata pesa na jina, miaka mitano ujichotee mi Mali, wajina bi Fatima kongole kwake.[emoji2935]Kama kawaida Yetu wazee wa kuruka na Track!