DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,805
- 4,107
Hawa ma feminist na ma gold digger hawawezi kujibu hili.Hili swali limeanza kuulizwa muda aisee wala halijibiwi wanarukaruka tu lakini sio shida zetu kurukaruka kwa maharage ndo kuiva kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ma feminist na ma gold digger hawawezi kujibu hili.Hili swali limeanza kuulizwa muda aisee wala halijibiwi wanarukaruka tu lakini sio shida zetu kurukaruka kwa maharage ndo kuiva kwake
Nikusahihishe: Kim alidai mzgo wa kutosha mkuu[emoji16]Kikubwa angefungua madai ya talaka na swala la child support lingeisha .
Kwa nini aende kudai half of the wealth kama sio gold digger?
Kanye west kaachana na kim kadarshian kwa talaka kabisa, je umesikia kim akidai half of Ye's wealth?
Na kama anajiweza na angekuwa smart upstairs basi hili swala lilikuwa linaishia kwa wanasheria wao wenyewe tuu halafu makaratasi yanapelekwa mahakamani kwa ajili ya formality.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hahaah et serikali ikuulize unatumia bia ngapi kwa siku,unakula supu ya shngapi,
et kwann umenunua harrier badala ya ist
Ha ha ha....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwamba serikali inaweza kukuhoji unatumia Vipi pesa za mshahara na kwanini huna akiba?[emoji276]ama mimi ndio sijaelewa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]mtoa mada kenge sana
Wamefunga ndoa 2020,Kwa mara ya kwanza nimesoma comment ya mtu aliyeweka nyama kwenye point.
Kuna wengi waliosema umetuheshimisha watarejea mawazo yao wakisoma comment yako.
Nikiwa kama baba wa mtoto wa kike, kaka kwa dada zangu wakuzaliwa nao, mjomba kwa mabinti wengi tuu, nisingemnyooshea kidole huyo mwanamke kwa nisiyoyajua. Kitu pekee tunachokijua wote hapa ni kua ameshindwa kesi ya kudai mali zilizopatikana kipindi cha ndo, ambayo ni haki kisheria.
Kwanza ni kwasababu ilikua ndoa halali
Pili, hiyo ndoa haikuletwa na njaa ( at least we know her status before marriage ). Huyo mwanamke hakwenda kwa hakimi kwasababu ya njaa.
Kingine ni kwamba kiini cha talaka yao sikijui, inawezekana kabisa ikawa immaturity ya huyo kijana.
Mwisho kabisa ni talaka halali na familia ina watoto, anayesema umetuheshimisha probably angefanya the same, kama angekua wakike.
Ninachojua ni kua wakati wanaanza mahusiano dada hakua mchovu financially, na huyo kijana hakua level aliyopo sasa. Kingine nunchokijua ni kua vinavyopatikana kipindi cha ndoa ni halali ya wanandoa wote. Mengine nitawaachia wajuaji.
Kwaiyo mama aliemzaa hafai kupewa sio?Cha ajabu watu wanqshangilia hukukubya dhuluma...yaani kapikiwa,kapetiwa miaka yote Ile ...kipato kinaenda Kwa mama yake ,pathetic ,huyo dada atapata Haki yake!
Siwezi kujua figure ila wakati huo alikua ametolewa kwa mkopo kwenda kucheza dotmund, hapo hakua na muda mrefu tangu apande kutoka castila.Wamefunga ndoa 2020,
Hivi unajua 2020 HAKIMI alikua level ipi kiuchumi bwashee?[emoji16]
Hapana mkuu, mimi nimeiongelea katika sura ya kama ataamua kufuatilia kivingine. Lengo ni watu wasione hili kuwa ni suluhisho bali wafikirie itakuwaje ukimfanyia hivi king'ang'anizi ambaye atarudi mahakamani kuhoji namna mapato yalivyotumika na ikaamuliwa miamala ifuatiliwe halafu ikakutwa ilikuwa ikihamishiwa mahala