Suala la Achraf Hakimi na Mke wake: Watu ni wepesi kuongea, hawataki kufanya reasoning

Hili swali limeanza kuulizwa muda aisee wala halijibiwi wanarukaruka tu lakini sio shida zetu kurukaruka kwa maharage ndo kuiva kwake
Hawa ma feminist na ma gold digger hawawezi kujibu hili.
 
Nikusahihishe: Kim alidai mzgo wa kutosha mkuu[emoji16]
 
Wamefunga ndoa 2020,
Hivi unajua 2020 HAKIMI alikua level ipi kiuchumi bwashee?[emoji16]
 
Cha ajabu watu wanqshangilia hukukubya dhuluma...yaani kapikiwa,kapetiwa miaka yote Ile ...kipato kinaenda Kwa mama yake ,pathetic ,huyo dada atapata Haki yake!
Kwaiyo mama aliemzaa hafai kupewa sio?
 
Wamefunga ndoa 2020,
Hivi unajua 2020 HAKIMI alikua level ipi kiuchumi bwashee?[emoji16]
Siwezi kujua figure ila wakati huo alikua ametolewa kwa mkopo kwenda kucheza dotmund, hapo hakua na muda mrefu tangu apande kutoka castila.

Hakua tilalila, ila net worth yake haikuhusisha dili za psg wala inter milan, so haikua hivi.
 
Umeongea kama mwanasheria wa mke wake

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu, mimi nimeiongelea katika sura ya kama ataamua kufuatilia kivingine. Lengo ni watu wasione hili kuwa ni suluhisho bali wafikirie itakuwaje ukimfanyia hivi king'ang'anizi ambaye atarudi mahakamani kuhoji namna mapato yalivyotumika na ikaamuliwa miamala ifuatiliwe halafu ikakutwa ilikuwa ikihamishiwa mahala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…