Uchaguzi 2020 Suala la ajira ndio litamuondoa Rais Magufuli madarakani hasa vijana ambao ndio wengi

Al shabab mko wapi? Mtuchukue mtusajali maana bora ni kuwa mtumwa unakula nyama kuliko kuwa huru na mzalendo unakula maharage yenye funza huku unakanyagwa ndani ya nchi yako
 
Hii tume ndo shida Mana huwa inatangaza viceversa. Ila mda mwingine . Ila mda mwingine unaweza chagua mwenyekiti wa tume hafu akatenda haki
Hahaha mwenyeketi gani anatenda haki?! Hata huyo mwenyeketi anayekuwepo kesha jua ni nani atakaye mtangaza kuwa rais October 2020, ameeshaelekezwa na aliyemteua.
 
Ni ngumu kukiondoa chama dola madarakani kwa kupitia box la kura.
 
Sawa vipi madaktar na walimu nao wafanye ujasiriamal!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…