Uchaguzi 2020 Suala la ajira ndio litamuondoa Rais Magufuli madarakani hasa vijana ambao ndio wengi

Uchaguzi 2020 Suala la ajira ndio litamuondoa Rais Magufuli madarakani hasa vijana ambao ndio wengi

Al shabab mko wapi? Mtuchukue mtusajali maana bora ni kuwa mtumwa unakula nyama kuliko kuwa huru na mzalendo unakula maharage yenye funza huku unakanyagwa ndani ya nchi yako
 
Hii tume ndo shida Mana huwa inatangaza viceversa. Ila mda mwingine . Ila mda mwingine unaweza chagua mwenyekiti wa tume hafu akatenda haki
Hahaha mwenyeketi gani anatenda haki?! Hata huyo mwenyeketi anayekuwepo kesha jua ni nani atakaye mtangaza kuwa rais October 2020, ameeshaelekezwa na aliyemteua.
 
Ni ngumu kukiondoa chama dola madarakani kwa kupitia box la kura.
 
Mimi nadhani Mheshimiwa angepewa muda maana yeye Ana stimulate ajira binafsi kwa kuanzisha miradi itakayo meza vijana wengi kwa mkupuo embu tulieni jamani hata ROMA haikujengwa MARA moja .Yeye pia ameanzisha program za elimu nje ya mfumo RASMI ZINAZOITWA INTERGRATED PROGRAM FOR OUT OF SCHOOL ADOLESCENTS (IPOSA) na inawafundisha vijana masomo ya ujasiriamali ,stadi za MAISHA ,ushoni ,uashi, UTENGENEZAJI WA BIDHAA ZA VIWANDANI,USEREMALA,UMEME na vifaa vipo.Kwa hiyo TAMISEMI inashirikiana kwa karibu na TAASISI YA ELIMU YA WATU Wazima.Na Mimi NDUGU YANGU anasoma na anapiga fedha ya sabuni balaa kwa sasa hivi kwenye janga hili.Naye Ni graduate.MSIONE NAANDIKA HIVI NAPENDA KUWA MKWELI TU.
Sawa vipi madaktar na walimu nao wafanye ujasiriamal!?
 
Back
Top Bottom