Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

Haha nikiwa kama mzanzbr dada zenu huku bara nawagonga kinoma wanapend rangi na nywele ila dada zetu sahau mkuu. [emoji23][emoji23]
Wazenji chukueni huyu chifu mafiii wenu huku hatumtaki awe rais wa zanzibar ,kwa kifupi wazanzibar amna akili hata ndogo siku muungano ukivunjika ndiyo mtajua kuwa amna akili ya kujiongoza
 
Mkoloni alikua muingereza,kabla ya hapo mjerumani,elimu huna unaharisha harisha tu..hayo mapinduzi yenyewe na muungano ni muingereza na usa
Mkoloni wa bara au visiwani? Kama mkoloni alikuwa muingereza, mapinduzi ya zanzibar walimpindua nani na akiwa kama nani huko zanzibar?
 
Ko tusipeleke elimu ya dini huko zanzibar tuiache huku huku bara? Kwa kuwa mmejaa huku bara huenda ndo mnabakana ili kuichafua bara.
 
Wazenji chukueni huyu chifu mafiii wenu huku hatumtaki awe rais wa zanzibar ,kwa kifupi wazanzibar amna akili hata ndogo siku muungano ukivunjika ndiyo mtajua kuwa amna akili ya kujiongoza

Wewe ndo huna akili uliza uchumi wa tanzania kama cc wapemba wakifuatiwa na wakinga kwa biashara nchini
 
Uwe unajaribu kuweka hisia pembeni kidogo, laiti tungelikuwa tunaandikka kwa hisia wngine post zetu zingekuwa hazisomwi na watoto (18+)
Suala si hisia, na huwezi kujitenga na hisia unapotoa maoni, suala hapa ni kusema ukweli usiotakiwa humu, labda kwa sababu ni classified, i had once said about so popularly known Kigogo, nikapigwa ban ya jukwaa, [emoji23][emoji23][emoji23] sijawahi ku comment tena ilw thread, yani ni bila bila mpaka sasa
 
Mbona mnachelewa , mnasubiri kitu gani?
Tunaisubiri kwa hamu kubwa siku hiyo, Tumechoka, tuwacheni tupumuwe
 

Zanzibar hakuna wakristo , walioko ni magowa Na wengi wamesilimu waliobaki Kanisa la minara miwili linawatosha. Hao wavamizi kutoka Tanganyika wasituwekee fujo , mavamizi Yao Na roho Za watu walizozitowa imetosha , Sasa waondoke Na majeshi Yao watuwachie Nchi yetu
 
Mkoloni wa bara au visiwani? Kama mkoloni alikuwa muingereza, mapinduzi ya zanzibar walimpindua nani na akiwa kama nani huko zanzibar?
Alipinduliwa Mzanzibari Na wavamizi wa Tanganyika wamewekwa kambi Za jeshi kila mtaa
 
Umeandika kinafiki sana mpaka umepoteza uhalisia wa maada
 
Huyu muongo, watu wenye asili ya Tanzania Bara wanamiliki ardhi. Nenda Ndagaa, kiboje, kitumba, dole, miwani, bubwisudi, kidimni, ubago, machui na vitongoji vya karibu. Katika vijiji hivyo walio wengine ni wandengereko, waruguru, wanyamwezi na makabila mengine na wanakaa kwenye mashamba yao. Sasa huwezi kulazimisha mtu akuulie ardhinyake binafsi. Kwaninhata huko bara so mnakubali kuuza wenyewe sasa analalamika nini. Kama mtu hataki kukuzia ardhi kwa kujenga kabisa. Utaka mwinyk awafanye nini? Wanaanza chokochoko za kipuuzi
 
mhh huo ni uongo.nilikaa na dada mmoja wa kigoma kwenye tukielekea dsm.yeye anaishi zanzibar lkn alichoniambia huwa wanaishi kwa vibali vya mkaazi na hawaruhusiwi kumiliki ardhi kabisa hivyo hoja ya askofu shayo ni dhahiri kwani yy si yuko huko miaka nenda rudi sasa huyo anayepinga inamaana anapingana na askofu?wanzibari hata pale kigoma wamejazana na wamejenga na kumiliki ardhi kubwa kubwa tu.nenda sehemu inayoitwa kazegunga mbele ya sekondari ya new man ukajionee,kuna mtaa ni wazanzibar watupu halafu ss kwao tunabaguliwa kwa nn.bara tubadilishe sheria inayowaruhusu wanzanzibar kumiliki ardhi bara waende wakamiliki kwao kama haiwatoshi waende comoro au anjuwani kwa watwana wao.
 
Tena wengi, nawajua binafsi ni rafiki zangu kabisa na mbona wamasai wapo na sasa tokea wafike Zanzibar hawataki hata kurudi Longido, ubaya wanamtekekeza mama Yo wanachukuaga wazungu wa Scandinavia wanajengewa majumba ya kifahari pembeni mwa fukwe za bahari na wanazaa nao na kupelekwa majuu for vacations. Na pale Nungwi wamejaa beach wanauza vitu vyo mtaa mzima. Na maenoe ya Nungwi mpaka maarufu inaitwa Tanga ndogo, Wadigo , Wabondei, Wasambaa na Wazigua wamejaa kuna maduka ya pombe na night clubs zimezagaa mtaa mzima hata huko Bara hamna maeneo hayo.
Nyinyi mnaolalamika sana hamtaki kuishi na wazanzibari kwa usalama na kiendeleza udugu uliopo hata kabla ya Muungano mna agenda ya Christianization of Zanzibar mtaa una wakristo wachache mnataka kujenga makanisa everywhere na wengine hasa hawa wasabato waliozuka siku hizi huo ukristo sio muhimu kwao bali ni what is called "God's Business" kuwanyonya walalahoi kwa michango ya Mungu kama vile masikini na kutumia Kanisa kukwepa kodi na kuendeleza ufisadi wa ukoshaji hela
 
Kitope wakulima wa miwa wakuu na wengi ni watu wa Bara hass wanayamwezi na wasukuma
 

Sisi tunataka Leo hiie mtuwachie nchi yetu mumetuulia wazee Na ndugu zetu saaaaana . Tumechoka ,tuwacheni tupumuwe
 
Mm siwatafuti wnakuja wenyw mkuu. Nikiwa kwny dinga blow jb za kutosha kwa dada zako na kutamn kuzaa na mm. Sijui inakuaje hapo mkuu [emoji16]
Wakutafuta ndio mpango, hao wakujileta kuwa makini sana.
 
Mimi naona kuwe na serikali moja ya tz na kuwe na majimbo yenye sheria zake turuhusu ku accommodate nchi zingine kama majimbo yaongozwe na magavana,sheria wajitungie wenyewe nsiyo tutawaweza wazanzibar,chukua Burundi Rwanda uganda n.k
 
Tatizo letu Tanzania ni kushughulika na tatizo badala ya kuondoa tatizo.

Tatizo sio Mwinyi wala Wazanzibar; tatizo ni sheria na kanuni.

Shughulikeni na kanuni na sio watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…