Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

Mimi huo uhuni wa kuitwa chogo niliukataa kitambo sana. Kuna mwarabu yupo kimara jina naliweka kapuni mpaka nikanywe kwanza gongo.. Yule mwarabu nilikuwa naishi nae tukiwa tunafanya kazi kwenye kampuni yake akawa ameoa mpemba lakini yule mwanamke wa kipemba akawa ananitenga na kunibagua huku akifanya upuuzi wa kubagaza dini yangu iliyoletwa na wazungu. Nikasema haina shida siku nilimnywea konyagi manina matusi niliyompa hata Kuja sahau mpaka Leo, akisikia jina langu siku imeharibika maana nilimuonyesha mpaka mapicha yake ya utupu alipokuwa anahara chooni akasahau kufunga mlango nikapiga picha yeye akiwa ameinamia sinki. Nilimwambiaga ukisema tu "nyo" haya mapicha na release huku nikawa nampasua na matusi magumu akiwa na tumbo kubwa na domo la ubwabwa wa chukuchuku.
 
Tuanzie hapa. Kwani Katiba kuhusu umiliki wa ardhi JMT inasemaje?
 
ukipenda kula vya mwenzako na wewe kubali kuliwa vyako"hapo ndipo hoja ilipo ishia
 
Hizi ndizo faida za muungano kwa Tanganyika?

Elewa swali kwanza halafu lijibu kwa mujibu. Ni wewe uliyetoa hoja kwamba Tanganyika inafaidika

Sijasema Tanganyika wanafaidika, Nimesema Tanganyika ndio wanaouhitaji mana wao ndio wanaoung'ang'ania.
 
Dr. Salmin Amour Juma. "Hakuna cha baba wa Taifa wala babu wa Taifa" Nyerere alipomtaka wafanyanye muafaka na CUF ili waunde Serikali ya mseto baada ya sintofahamu ya Uchaguzi Mkuu 1995.
Dr. Salmin Amour Juma.
Hakuna cha Serikali mbili kuelekea moja hapa, wakitaka labda waje watawale miti.
 
Namheshimu sana ...
Chetu chao na chao ni chao.

Bado kuna sheria kandamizi zanzibar ndg yangu, wale waarabu wa mwanzo wangekuwa ndiyo hawa sijui nini ningetokea.
 
Mi naona bara tuweke Sheria inayo kataza wazanzibari ama nchi nyingine zenye kanuni ya kibaguzi kuhusiana na umiliki wa ardhi, wasimiliki pia ardhi kwetu
 
99/% zanzibar ni waislamu halafu nyie mliokuwa na govi mnataka kujenga makanisa katika nchi ya waislamu wengi ni ni nchi ya kiislamu mnatafuta ugomvi
 
MHASHAMU ASKOFU SHAO ANATAKA KUITEKA ZANZIBAR KWA JINA LA USAWA (RECIPROCITY) WA KUMIlIKI ARDHI.

Sasa hii ni hatari tena kubwa tena ilioekwa hadharani. Ni dalili ilio wazi ya kutapatapa na kumtisha hadharani Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi aridhie kile ambacho hakikuridhiwa na Maraisi wote wa Zanzibar waliopita.

Askofu Shao anaingiza hisia za kiroho ndani ya siasa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Zanzibar. Maudhui ya suala la ardhi ni suala la kisiasa na la Mamlaka Kamili ya Zanzibar na kwa hiyo lipo nje ya dini ya Ukristo na Uislamu.

Vipi utakuwepo usawa wa umiliki wa ardhi baina ya Wazanzibari milioni moja (1) na Watanganyika milioni arubaini na tano (45)?

Hii fitna mpya ya hadharani ya Askofu Shao imekusudiwa kujenga mifarakano ya kidini na ujinga wa kiitikadi baina ya dini mbili na pande mbili za Muungano ili Wazanzibari pamoja na Watanganyika wanaoidai Tanganyika yao, wapoteze Umoja wao katika kudai haki zao ndani ya Muungano.

Viongozi wa kidini na wa kisiasa wa Zanzibar na wa Tanganyika wanapaswa kuwa waangalifu imara na waangalifu SANA na kumshauri vizuri Rais wa Zanzibar. Dokta Hussein Ali Mwinyi, anatakiwa achukue tahadhari za makusudi za kuuona mtego wa Askofu Shai wa kujaribu kudhililishwa hadharani na mbele ya Wazanzibari ma Watanganyika, na kuiepusha Zanzibar na Tanganyika na mbegu za sumu mpya alizozimwaga Askofu Shao mchana kweupe kwenye uwanja wa Amani na mbele yako Rais Dokta Hussein Ali Mwinyi.

Watakaoumia katika jaribio la kupandisha mbegu za fujo za kisiasa kupitia udini wa Askofu Shao na jimbo la Katoliki la Zanzibar ni Wakristo na Waislam kwa pamoja.

Ni dhahir Askofu Shao na jimbo la Katoliki la Zanzibar anataka Watanganyika Wakristo (hakuwatetea Watanganyika Waislam) waruhusiwe kununua ardhi na nyumba Zanzibar kinyume na sheria za Zanzibar.

Askofu Shao katuamsha hadharani kwa kututangazia mkakati wa hatari mpya na mchafu. Sisi Wazanzibari, na zaidi Watanganyika wenye kuuona uovu wa Uongozi wa watu wachache wa Tanganyika juu ya Zanzibar, tutaendelea kufa kupona kudai Mamlaka Kamili (sovereignty) ya Zanzibar na Mamlaka Kamili ya Tanganyika (sovereignty) ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…