okiwira
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,856
- 3,003
Huyu n mtanzania mwenye nia saf na tz na hana ubaguz wa aina yoyote.Hapo kampa makavu laivu,Kanisa kwenye ardhi ya 20x0 20 unajenga kitu gani sasa.
Hio labda kwa msikiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu n mtanzania mwenye nia saf na tz na hana ubaguz wa aina yoyote.Hapo kampa makavu laivu,Kanisa kwenye ardhi ya 20x0 20 unajenga kitu gani sasa.
Hio labda kwa msikiti
Write your reply...mm siwezi kuwalaumu wazanzibar ila nitalaumu mfumo ambao n serikari.maana wao ndio wenye mamlaka ya kutoa ardhi,ila ina kera ukienda kwao wakijua n wa bara kumiliki ardhi ni ngumu sana.

Thubutu! Sio kwa zanzibar, sisi tunaong'ang'ania muungano lazima utugharimuNgumu Kumeza Viongozi Waende Wakajitafakari
Wagalatia Nao Wapewe Ardhi Ila Siyo 20X20
Hili Kofi La Baba Askofu Najua Serikali Inaweweseka
Je wapemba walijazana vingunguti nini kimewashinda kujenga huko Zanzibar?Watanganyika wakiruhusiwa kununua ardhi Zanzibar si itaisha!!..Kuna ardhi kubwa bara,kimekushinda nini kununua mpaka uvuke maji!!?
Zanzibar sio nchi ya kiislamuile ni nchi ya kiislamu mbuzi nyie
Kwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shayo kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar amezungumzia mambo mbalimbali likiwemo la tatizo la wabara kumiliki ardhi Zanzibar.
ameongelea kuhusu aridhi ambapo ni tatizo kubwa Zanzibar, yaani mkristo kupata aridhi ni haiwezekani, hasa ukifahamika kutoka bara kama ni mkristo upewi.
Aliongeza kuwa "katiba inatoa nafasi kwa raia kuwa na usawa,haiwezekani ukienda bara unachukua aridhi ila ukija zanzibar upewi, ifike mahari tuangalia usawa, ukipenda kula vya mwenzako na wewe kubali kuliwa vyao
Aaaah aisee Zenji ndugu zetu wanaubaguzi sana.Watakwambia Zenji ni kisiwa kwahiyo ina ardhi ndogo!.
Wazanzibari ni wabinafsi na wabaguzi sanaKwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shayo kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar amezungumzia mambo mbalimbali likiwemo la tatizo la wabara kumiliki ardhi Zanzibar...
Uchoyo huku ukikodolea kila la partner wakoWatakwambia Zenji ni kisiwa kwahiyo ina ardhi ndogo!.
Acha bara ilipe gharama za pendo lililokataliwa .Kwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shayo kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar amezungumzia mambo mbalimbali likiwemo la tatizo la wabara kumiliki ardhi Zanzibar...
Watanganyika wakiruhusiwa kununua ardhi Zanzibar si itaisha!!..Kuna ardhi kubwa bara,kimekushinda nini kununua mpaka uvuke maji!!?