Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,629
- 2,733
Katiba Mpya ni sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Selfish nani? Nyie machogo mliozungukwa na mapori na ardhi kubwa na bado mna uchu na ardhi ndogo ya Zanzibar? Hamna lenu jambo, zaidi ya kuleta uchokozi na uchochezi kwa Wazanzibari.Selfish madafakas.
#MaendeleoHayanaChama
Tuko pamoja nawe katika hoja ya udogo wa ardhi ya Zanzibar ...ila mkuu wangu tafadhali unaweza kuondoa maneno yenye ukakasi dhidi yetu tulio huku bara ?!!!Selfish nani? Nyie machogo mliozungukwa na mapori na ardhi kubwa na bado mna uchu na ardhi ndogo ya Zanzibar? Hamna lenu jambo, zaidi ya kuleta uchokozi na uchochezi kwa Wazanzibari.
Endelea kujifunza juu ya Muungano na mambo yake ikiwa wewe ni mtoto wa miaka 17.....Sijui wa bara tuna kwama wapi sie.? Ni muda muafaka sasa tuache kuwauzia viwanja wa Znz .....
Mkuu, kuna visiwa unguja vinauzwa, ushajaribu bahati yako huko?
Ngumu Kumeza Viongozi Waende Wakajitafakari
Wagalatia Nao Wapewe Ardhi Ila Siyo 20X20
Hili Kofi La Baba Askofu Najua Serikali Inaweweseka
Maneno mengiiii.....Labda wazike bahari maana ardhi yenyewe ndogo
Kwa Bara sawa huwa wanachukua mpaka ekari 1000 na zaidi na mashamba mengi wananunua kila kukicha
Shida ni ardhi
Kisiwa kidogo na sehemu watakayopewa wakubali tu hata chumba kimoja
Kwa mfano Kuwait ni nchi ndogo sana ila walijitahidi sana kuzika pembezoni mwa bahari kiasi kikubwa sana na kuweka Mahoteli mengi sana na space kubwa ya kutembea kwa miguu na parking ya magari
Sasa naona hamjachelewa kuiga
Hiyo bahari izikwe tu
Hata Mchina katengeneza visiwa na hakuna wa kuleta fyoko
Wewe na wengine mnashindwa kuelewa tatizo ni nini hapa.Watanganyika wakiruhusiwa kununua ardhi Zanzibar si itaisha!!..Kuna ardhi kubwa bara,kimekushinda nini kununua mpaka uvuke maji!!?
Muasisi wa hicho ukiitacho "ukakasi" ni baba wa taifa hayati JKN(siempre ,Rest easy) aliona mbali mno......Wewe na wengine mnashindwa kuelewa tatizo ni nini hapa.
Tatizo siyo watu toka Bara kwenda kujazana Unguja na Pemba.
Leo hii, hata ikitamkwa waziwazi kwamba yeyote anaruhusiwa kwenda kununua ardhi huko, usidhani kwamba kutakuwa na msululu wa wanunuzi watakaokimbilia huko.
Tatizo ni sera hiyo ya kibaguzi kabisa, kutamka bayana, kwamba raia wa nchi hawezi akaenda kuishi sehemu fulani ambayo imetengwa kwa maksudi kwa ajili ya raia wengine. Hii inatia ukakasi moja kwa moja hata ukiitazama kwa darubini ya dhahabu.
Na nyie kama ni wachache na mnamiliki ardhi yenu Zanzibar kitu gani kinawapeleka bara?Watanganyika wakiruhusiwa kununua ardhi Zanzibar si itaisha!!..Kuna ardhi kubwa bara,kimekushinda nini kununua mpaka uvuke maji!!?
Makosa ni muungano wenyewe, kuna wakati wa Raisi Mwalimu Nyerere ilikuwa dhambi kuu kujadili muungano wenyewe.Kweli baba askofu, kwanini wazanzibari wanakuwa special kwenye muungano?
Suala la ardhi, kama Zanzibar wanakataa kutupa ardhi kuwekeza ama kujenga tu makadhi yetu binafsi basi nasi tuwanyang'anye ardhi hapa Bara, hakuna haja ya kubembelezana.Mhashamu Askofu Augustino Shao wa Zanzibar ametimiza Jubilei ya miaka 25 katika utumishi wa kanisa la Roman Catholic huko Zanzibar.
Kwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shao kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar, amezungumzia mambo mbalimbali aliyokumbana nayo akiwa katika utumishi wa kanisa, moja au baadhi ni Usafirishaji haramu wa watu kwenda nje ya nchi na uhamiaji wanatumika kutoa pasipoti pasipo utaratibu.
Amesema watu wanasafirishwa nje kwa kuhadaiwa kazi nzuri lakini mbele wanabadilishiwa kile walicho aidiwa na kwenda kufuga nguruwe au kazi za hatari.
Kwa upande mwingine ameongelea kuhusu aridhi ambapo ni tatizo kubwa Zanzibar, yaani mkristo kupata aridhi ni haiwezekani, hasa ukifahamika kutoka bara kama yohana upewi.
"Siyo kila mkristo anakuja kujenga kanisa, kanisa halijengwi na familia bali na taasisi kama madhehebu, alisema askofu Shoo.
Aliiomba Serikali ifikilie wanapopima viwanja waweke kipaumbele pia kwa mashirika na taasisi za kidini, sababu kanisa linatizama mbele na si kuwapa kiwanja size ya 20x20.
Aliongeza kuwa "katiba inatoa nafasi kwa raia kuwa na usawa,haiwezekani ukienda bara unachukua aridhi ila ukija zanzibar upewi, ifike mahari tuangalia usawa, ukipenda kula vya mwenzako na wewe kubali kuliwa vyako".
Acha uongo!Za chin ya kapet kigamboni ilikua sehem ya zanzibar tuliwapora tu wapemba
Sasa mbona amekabwa kotekote! Haya alitakiwa ayatoe miaka iliyopita, Zanzibar ni nchi ya kiisilamu japo inapenda hela za wazungu.Mhashamu Askofu Augustino Shao wa Zanzibar ametimiza Jubilei ya miaka 25 katika utumishi wa kanisa la Roman Catholic huko Zanzibar.
Kwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shao kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar, amezungumzia mambo mbalimbali aliyokumbana nayo akiwa katika utumishi wa kanisa, moja au baadhi ni Usafirishaji haramu wa watu kwenda nje ya nchi na uhamiaji wanatumika kutoa pasipoti pasipo utaratibu.
Amesema watu wanasafirishwa nje kwa kuhadaiwa kazi nzuri lakini mbele wanabadilishiwa kile walicho aidiwa na kwenda kufuga nguruwe au kazi za hatari.
Kwa upande mwingine ameongelea kuhusu aridhi ambapo ni tatizo kubwa Zanzibar, yaani mkristo kupata aridhi ni haiwezekani, hasa ukifahamika kutoka bara kama yohana upewi.
"Siyo kila mkristo anakuja kujenga kanisa, kanisa halijengwi na familia bali na taasisi kama madhehebu, alisema askofu Shoo.
Aliiomba Serikali ifikilie wanapopima viwanja waweke kipaumbele pia kwa mashirika na taasisi za kidini, sababu kanisa linatizama mbele na si kuwapa kiwanja size ya 20x20.
Aliongeza kuwa "katiba inatoa nafasi kwa raia kuwa na usawa,haiwezekani ukienda bara unachukua aridhi ila ukija zanzibar upewi, ifike mahari tuangalia usawa, ukipenda kula vya mwenzako na wewe kubali kuliwa vyako".
Bado sijaona hoja zakeMhashamu Askofu Augustino Shao wa Zanzibar ametimiza Jubilei ya miaka 25 katika utumishi wa kanisa la Roman Catholic huko Zanzibar.
Kwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shao kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar, amezungumzia mambo mbalimbali aliyokumbana nayo akiwa katika utumishi wa kanisa, moja au baadhi ni Usafirishaji haramu wa watu kwenda nje ya nchi na uhamiaji wanatumika kutoa pasipoti pasipo utaratibu.
Amesema watu wanasafirishwa nje kwa kuhadaiwa kazi nzuri lakini mbele wanabadilishiwa kile walicho aidiwa na kwenda kufuga nguruwe au kazi za hatari.
Kwa upande mwingine ameongelea kuhusu aridhi ambapo ni tatizo kubwa Zanzibar, yaani mkristo kupata aridhi ni haiwezekani, hasa ukifahamika kutoka bara kama yohana upewi.
"Siyo kila mkristo anakuja kujenga kanisa, kanisa halijengwi na familia bali na taasisi kama madhehebu, alisema askofu Shoo.
Aliiomba Serikali ifikilie wanapopima viwanja waweke kipaumbele pia kwa mashirika na taasisi za kidini, sababu kanisa linatizama mbele na si kuwapa kiwanja size ya 20x20.
Aliongeza kuwa "katiba inatoa nafasi kwa raia kuwa na usawa,haiwezekani ukienda bara unachukua aridhi ila ukija zanzibar upewi, ifike mahari tuangalia usawa, ukipenda kula vya mwenzako na wewe kubali kuliwa vyako".
Ilikuwa imeungana na Zanzibar au unamaanisha nini? Maana inajulikana Tangu kale Zanzibar ni visiwa.Za chin ya kapet kigamboni ilikua sehem ya zanzibar tuliwapora tu wapemba