Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

Wanaanzaje kukunyima mpaka mabinti zao? ingekuwa mimi hata kama wangeninyima ningefanya jambo wangenitafuta popote nilipo waniletee huyo binti yao wenyewe, labda waninyime ardhi isiyohamishika, lakini sio binti yao.
 
Mimi siwezi kuchangia kwa sababu amesema ukweli kuwa Mtanganyika ukiwa Zanzibari hutambuliwa kama mgeni kutoka nje ya nchi (zamani ilikuwa ni lazima uwe na passport) ila mzenji akija Tanganyika anajulikana kuwa ni Mtanzania mwenzetu. Ni mkweli kuwa wakristu Zanzibar huonekama kama ni mashetani ingawa siyo kwa wazi wazi sana, lakini swala la utanganyika na Uzanzibari liko wazi sana.
Ni kweli! Ila wazanzibar wanaendeleza tabia za udini na usultani usiotakiwa hasan kwa wale ambao sio waislam!
 
Wanaanzaje kukunyima mpaka mabinti zao? ingekuwa mimi hata kama wangeninyima ningefanya jambo wangenitafuta popote nilipo waniletee huyo binti yao wenyewe, labda waninyime ardhi isiyohamishika, lakini sio binti yao.

Haha nikiwa kama mzanzbr dada zenu huku bara nawagonga kinoma wanapend rangi na nywele ila dada zetu sahau mkuu. [emoji23][emoji23]
 
Ilikuwa imeungana na Zanzibar au unamaanisha nini? Maana inajulikana Tangu kale Zanzibar ni visiwa.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Kihistoria ilikua ni yao kwa maana walikuepo wazaz wao wakiish hapo wakolon walivyokuja kuweka mipaka wakaiweka huku tanzania ndio wanzanzibar wako weng kigambon miaka na miaka toka kale
 
Zanzibar ni tuvisiwa kigamboni sio kisiwa na ipo kilometer za kutosha toka visiwani iweje leo hii iwe ni sehemu ya visiwa hujiulizi mkuu Mbona mambo yapo wazi yaani leo hii ukanda wa pwani yote iwe ni sehemu ya Zanzibar kwa akili za kawaida maana ni ukichaaa kabisa huu. Leo hii joberg iwe ni sehemu ya Madagascar. Ardhi ya bara ni ya bara na ardhi ya tumashamba ni ya hao wanaojiita wazanzibar
Wapemba na wanzanzibar ndio wakaz wenyeji wa kigambon tangu 1780 kama vile wazaramo kwa dar mkolon akaja kugawa sehem ile kwa bara haya rais wao jumbe alikua na kiwanja cha urais tangu kale alichorith kutoka kwa babu yake na babu yake hapo ndio nyerere alipomuweka kizuizin kiukwel tunawaonea wanzanzibar sanaa kutokana na udogo wao na kuna kisima cha mafuta kimejulikana ila wanzanzibar wamegoma kuchimbwa mafuta na kuletwa bara na bara haitok kuchimba mafuta na kuuzwa kutokea zanzibar swala liko pending
 
Never, nawapenda sana dada zako wanavyoongea kwa kubana pua, kila nikisikia sauti namtafuta mzungumzaji alipo nikaongee nae.

Mm siwatafuti wnakuja wenyw mkuu. Nikiwa kwny dinga blow jb za kutosha kwa dada zako na kutamn kuzaa na mm. Sijui inakuaje hapo mkuu [emoji16]
 
Watu wengi wanaozungumzia ardhi ya Zenj,hawajawahi hata Kufika Zenj,wengine hata kwenda Zenj,hawajuhi unapita wapi,Idadi ya watu Zenj ni ndogo sana ukilinganisha na watu wa wilaya moja ya Dar,Zenj inaingia mara tatu kwenye mkoa wa Kagera.

Sasa kama unashindana na idadi hiyo ya watu,inabidi busara itumike kidogo,

Wapo wabara kibao wamejenga lodges na wengine majumba na wanamiliki ardhi sana tu
 
Back
Top Bottom