hii ndio sababu mojawapo inayonifanya nione kichefuchefu kwenye muungano...na nikikutana na mzanzibari nisiwe na moyo wa kushirikiana naye. mtaniwia radhi kwa kusema ukweli ulioko moyoni mwangu.
kwasababu hata kwa raia wa kawaida achana na institutions, ukienda dsm, kigamboni, kuna wazanzibar wanamiliki ardhi wapendavyo, ukienda mikoani kuna wazanzibar wananunua maeneo wapendavyo. ila sisi tukienda kule, ......., kingine, kuona dini zingine hazitakiwi, kuchapa viboko wakristo wasiofunga wanaokula wakati wa ramadhani....ni jambo ambalo kwa wazanzibar wote wanaona ni sahihi, ila mimi linanitia simanzi sana.