Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

Watu wengi wanaozungumzia ardhi ya Zenj,hawajawahi hata Kufika Zenj,wengine hata kwenda Zenj,hawajuhi unapita wapi,Idadi ya watu Zenj ni ndogo sana ukilinganisha na watu wa wilaya moja ya Dar,Zenj inaingia mara tatu kwenye mkoa wa Kagera,
Sasa kama unashindana na idadi hiyo ya watu,inabidi busara itumike kidogo,
Wapo wabara kibao wamejenga lodges na wengine majumba na wanamiliki ardhi sana tu

Hawajielew hao kuna wazaramu kibao wameoa n wamejenga au wengn kupewa makaz ya kuishi. Wanapend sana kutubagua kisa dada zao wnatukubali kinyama.
 
Na viongozi wa ccm wanona ni kawaida kabisa. Na wanaimba ngojera kila siku muungano ni imara na hauna shida

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
imagine wewe sio muislam, haufungi, kuna mtu anafunga na hataki ule, anataka na wewe ufunge. huombi chakula kwake, ila hataki tu ule na anaamini anamwabudu mungu, tena kwenye nchi yenye katiba ya usawa. mbona sisi wakristo tukifunga kivyetu huwa hatuwalazimishi na wao wafunge kama sisi?
 
Na nyie kama ni wachache na mnamiliki ardhi yenu Zanzibar kitu gani kinawapeleka bara?
Ndiyo makubaliano ya muungano,sisi tutaruhusiwa kununua ardhi baea,nyinyi hamtoruhusiwa kununua ardhi zbar,bara ni kubwa kuliko Kenya,Uganda na rwanda ukiziunganisha,hupendi vunja muungano
 
Wewe na wengine mnashindwa kuelewa tatizo ni nini hapa.

Tatizo siyo watu toka Bara kwenda kujazana Unguja na Pemba...
Darubini ya dhahabu ikoje!!?..kwa hila zenu wakiristo Hilo likiwa ruksa Basi mtatafuta wafadhili,mnunue ardhi,mjenge makanisa mengi hata Kama hayajai watu,Kisha mfurahi muone mmeibatiza zenji,hatuuzi kwa machogo ardhi yetu,hupendi vunja muungano
 
Selfish nani? Nyie machogo mliozungukwa na mapori na ardhi kubwa na bado mna uchu na ardhi ndogo ya Zanzibar? Hamna lenu jambo, zaidi ya kuleta uchokozi na uchochezi kwa Wazanzibari.
Hehehee
Niliwahi kufundishwa na ndio usahihi baada ya kufuatilia...
Watu wengi kama sio wote wasio na chogo kabisa hawana akili timamu. Wanakuwa wanaupungufu wa aklili au mataahira kabisa.

Fuatilia sasa hivi utashangaa!

Sababu zinaweza kuwa za kibaolojia kabisa.
 
Utamaduni upi mlio nao nyinyi labda kuvaa kobazi na vipedo na mashuka. Vita gani nyinyi mlipigana maana hata uhuru tuliwaletea maana sie ndo tulimfurusha yule sultani wenu.
Zanzibar ilipata Uhuru 1963,kiongozi alikua Nani!?..nyinyi mmekuja kuua watu elf 13+..mnapaswa kwenda icc
 
Mhashamu Askofu Augustino Shao wa Zanzibar ametimiza Jubilei ya miaka 25 katika utumishi wa kanisa la Roman Catholic huko Zanzibar.


Kwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shao kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar, amezungumzia mambo mbalimbali aliyokumbana nayo akiwa katika utumishi wa kanisa, moja au baadhi ni Usafirishaji haramu wa watu kwenda nje ya nchi na uhamiaji wanatumika kutoa pasipoti pasipo utaratibu.

Amesema watu wanasafirishwa nje kwa kuhadaiwa kazi nzuri lakini mbele wanabadilishiwa kile walicho aidiwa na kwenda kufuga nguruwe au kazi za hatari.

Kwa upande mwingine ameongelea kuhusu aridhi ambapo ni tatizo kubwa Zanzibar, yaani mkristo kupata aridhi ni haiwezekani, hasa ukifahamika kutoka bara kama yohana upewi.

"Siyo kila mkristo anakuja kujenga kanisa, kanisa halijengwi na familia bali na taasisi kama madhehebu, alisema askofu Shoo.

Aliiomba Serikali ifikilie wanapopima viwanja waweke kipaumbele pia kwa mashirika na taasisi za kidini, sababu kanisa linatizama mbele na si kuwapa kiwanja size ya 20x20.

Aliongeza kuwa "katiba inatoa nafasi kwa raia kuwa na usawa,haiwezekani ukienda bara unachukua aridhi ila ukija zanzibar upewi, ifike mahari tuangalia usawa, ukipenda kula vya mwenzako na wewe kubali kuliwa vyako".
 

Attachments

  • IMG_4142.MP4
    6.1 MB
hii ndio sababu mojawapo inayonifanya nione kichefuchefu kwenye muungano...na nikikutana na mzanzibari nisiwe na moyo wa kushirikiana naye. mtaniwia radhi kwa kusema ukweli ulioko moyoni mwangu.

kwasababu hata kwa raia wa kawaida achana na institutions, ukienda dsm, kigamboni, kuna wazanzibar wanamiliki ardhi wapendavyo, ukienda mikoani kuna wazanzibar wananunua maeneo wapendavyo. ila sisi tukienda kule, ......., kingine, kuona dini zingine hazitakiwi, kuchapa viboko wakristo wasiofunga wanaokula wakati wa ramadhani....ni jambo ambalo kwa wazanzibar wote wanaona ni sahihi, ila mimi linanitia simanzi sana.

Huu muungano utavunjika tu ni swala la muda sema ndo watakuwa washatupiga sana.... tutaanza kuwawekea vikwazi vigumu na wao
 
Hao NI slavery descendants...bado chembechembe hizo zinawasumbua..achana nao..
 
Hoja kama hizi huwa hawajibu maana yapo mengi sana bara yanakula na kunya hovyo tena kwa uhuru afu ukienda kwao yanaanza kukuona kwa jicho la chuki. Wakileta upuuzi watachezea mkon’gonto.
Wakianza kubanwa hivi huwasikii wakimtukana tena Nyerere, Muungano huu unawanufaisha sana hawa wazanzbari wabaguzi wasio haya!
 
Hapo kampa makavu laivu,Kanisa kwenye ardhi ya 20x0 20 unajenga kitu gani sasa.

Hio labda kwa msikiti
Watu wengine huwa mnawaza uporoto ama!!
Watu wanakataa ubaguzi halafu wew tena waingiza ubaguzi?!
Kwamba eneo la 20×20 halifai kwa kanisa labda wapewe wa msikiti!!? Waaheed wew ndo maana mnanyimwa hayo maeneo.
Unataka usawa huku wew waona eneo hilo kidogo ndo wapewe wa kujenga msikiti??
Ujinga ...
Kama wew ni mwanaume familiy ako ina mtihani.
 
Back
Top Bottom