kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Sioni motive ya kumiliki ardhi zanzibar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajionaga nao ni waarabu kutoka oman[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe mswahili mbwa kachokaAaaah aisee Zenji ndugu zetu wanaubaguzi sana.
huwa nasikitika kuona wanavotuita kwa majina mabaya huko mitandaoni mara machogo...... ila siku mlikoroge ndo mtaona tunavowazamisha huko kisiwan
Huu ni utetezi wa kiuchoyoWatakwambia Zenji ni kisiwa kwahiyo ina ardhi ndogo!.
Vunja muungano,mungu fundi wa kugeuza vitimbiAlisema nani hio kauli kua kila mtanganyika atanunua ardhi huko kijijini (Zanzibar). Tunahitaji usawa kama watanzania sio cha watanganyika ni cha ote ila cha Zanzibar ni cha kwao huo ni ubinafsi na utomvu wa uaminifu na huenda idada kubwa ya WaZanzibar walio bara ni wengi kuliko huko kwene shambani Zanzibar au nasisi tuwatimue. Acheni choyo tunahitaji hio ardhi nasisi japo sio ote na kamwe haiwezi kujaaa hata mkitunyima ikijaa mtaenda wapi au tuanze kuwatimua nyie wauza urojo na alkasusi chafu.
Za chin ya kapet kigamboni ilikua sehem ya zanzibar tuliwapora tu wapemba
Wamejenga Zanzibar na vingunguti,kwa kuwa vingunguti Kuna ardhi ya kutosha na Haina kaziJe wapemba walijazana vingunguti nini kimewashinda kujenga huko Zanzibar?
Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app
ile ni nchi ya kiislamu mbuzi nyie
Vunja muungano,mungu fundi wa kugeuza vitimbi
Nyinyi si mlilenga kupiga Vita utamaduni wa mzanzibar,Vita vinawatokea puaniMtatafuta kwa kwenda maana hatuta wahitaji kisiwa Chenu kikijaaa
Ingekuwa ni hivyo basi kila mtu angebaki mkoani kwakeWatanganyika wakiruhusiwa kununua ardhi Zanzibar si itaisha!!..Kuna ardhi kubwa bara,kimekushinda nini kununua mpaka uvuke maji!!?
Nyinyi si mlilenga kupiga Vita utamaduni wa mzanzibar,Vita vinawatokea puani
Wenzako wanafunga we unabugia misosi, lazima ule bakora.hii ndio sababu mojawapo inayonifanya nione kichefuchefu kwenye muungano...na nikikutana na mzanzibari nisiwe na moyo wa kushirikiana naye. mtaniwia radhi kwa kusema ukweli ulioko moyoni mwangu. kwasababu hata kwa raia wa kawaida achana na institutions, ukienda dsm, kigamboni, kuna wazanzibar wanamiliki ardhi wapendavyo, ukienda mikoani kuna wazanzibar wananunua maeneo wapendavyo. ila sisi tukienda kule, ......., kingine, kuona dini zingine hazitakiwi, kuchapa viboko wakristo wasiofunga wanaokula wakati wa ramadhani....ni jambo ambalo kwa wazanzibar wote wanaona ni sahihi, ila mimi linanitia simanzi sana.
Ingekuwa ni hivyo basi kila mtu angebaki mkoani kwake
Sidhani kama Watanganyika wanajielewa viuri...Muungano unatuumiza sana watu wa Bara na kuwanifaisha Wazanzibar.
Kufunga ni imani au ni hukumu??Wenzako wanafunga we unabugia misosi, lazima ule bakora.
Sawa sasa ndiyo 20x20..?Suala la ardhi ni jambo gumu na mtambuka haswa.....
Hivi Zanzibar kuna msikiti gani ambao umepewa mathalani heka 30 ?!!!
Tunajua ardhi ya Zanzibar ni ndogo sasa inakuwaje makanisa kupewa heka nyingi ambazo ndani yake kutakuwa na uzalishaji mali na mambo mengineyo?!!!
Kwani heka ngapi za ardhi zitakazotolewa zitaonekana kuwaridhisha?!!!!
#Siempre JMT🙏