Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

Selfish nani? Nyie machogo mliozungukwa na mapori na ardhi kubwa na bado mna uchu na ardhi ndogo ya Zanzibar? Hamna lenu jambo, zaidi ya kuleta uchokozi na uchochezi kwa Wazanzibari.
Tuko pamoja nawe katika hoja ya udogo wa ardhi ya Zanzibar ...ila mkuu wangu tafadhali unaweza kuondoa maneno yenye ukakasi dhidi yetu tulio huku bara ?!!!
Achana na huyo ndugu yeye na baadhi ya wenzake hawaijui vyema historia ya Tanzania na uadhimu wa watu wake........

#Siempre JMT🙏
#Siempre Muungano wetu🙏
 
Sijui wa bara tuna kwama wapi sie.? Ni muda muafaka sasa tuache kuwauzia viwanja wa Znz .....
Endelea kujifunza juu ya Muungano na mambo yake ikiwa wewe ni mtoto wa miaka 17.....

#Siempre JMT🙏
 
Labda wazike bahari maana ardhi yenyewe ndogo
Kwa Bara sawa huwa wanachukua mpaka ekari 1000 na zaidi na mashamba mengi wananunua kila kukicha

Shida ni ardhi
Kisiwa kidogo na sehemu watakayopewa wakubali tu hata chumba kimoja

Kwa mfano Kuwait ni nchi ndogo sana ila walijitahidi sana kuzika pembezoni mwa bahari kiasi kikubwa sana na kuweka Mahoteli mengi sana na space kubwa ya kutembea kwa miguu na parking ya magari

Sasa naona hamjachelewa kuiga
Hiyo bahari izikwe tu

Hata Mchina katengeneza visiwa na hakuna wa kuleta fyoko
Maneno mengiiii.....

Unataka kusema kuwa WAZANZIBARI wamekuja huko kijijini kwenu na kuchukua eneo la ardhi heka 100 ili kujenga MSIKITI ?!!!

Kwanini unataka kutuaminisha kuwa Zanzibar hakuna wakazi wenyeji walio WAKRISTO isipokuwa ni wa kutoka huku bara ?!!!

Kama sivyo ,je huku bara hakuna waislam ?!!! Je hao waislam wa bara ndio unaotaka wasifanyiwe hisani ya kuuziwa hizo heka za ardhi 1000 usemazo ?!!

#Siempre JMT🙏
#Muungano Wetu Una Thamani Kubwa Mno zaidi ya tofauti za kiitikadi na Matabaka🙏
 
Watanganyika wakiruhusiwa kununua ardhi Zanzibar si itaisha!!..Kuna ardhi kubwa bara,kimekushinda nini kununua mpaka uvuke maji!!?
Wewe na wengine mnashindwa kuelewa tatizo ni nini hapa.

Tatizo siyo watu toka Bara kwenda kujazana Unguja na Pemba.
Leo hii, hata ikitamkwa waziwazi kwamba yeyote anaruhusiwa kwenda kununua ardhi huko, usidhani kwamba kutakuwa na msululu wa wanunuzi watakaokimbilia huko.

Tatizo ni sera hiyo ya kibaguzi kabisa, kutamka bayana, kwamba raia wa nchi hawezi akaenda kuishi sehemu fulani ambayo imetengwa kwa maksudi kwa ajili ya raia wengine. Hii inatia ukakasi moja kwa moja hata ukiitazama kwa darubini ya dhahabu.
 
Muasisi wa hicho ukiitacho "ukakasi" ni baba wa taifa hayati JKN(siempre ,Rest easy) aliona mbali mno......

Mosi ,Zanzibar ilipata uhuru wake 1963 kabla ya Muungano...(aliogopea kuipoteza "identity yake").

Pili ,Zanzibar ni kisiwa.....sheria za visiwa si lazima zifanane na kwengineko(Rejea Muungano wetu ni wa kipekee).....ardhi yake ni ndogo sana na kila uchao idadi ya wakazi wa asili inaongezeka......

Tujikumbushe kuwa hayati Mzee Abeid Karume aligawa heka 2 kwa kila familia.....sasa unaanzaje kutaka mtanzania kutoka huku bara asiwekewe mipaka ya kununua na kuhodhi ardhi Kisiwani humo ?!!!

Hivi kweli hapa tunaongozwa na HISIA ama UHALISIA katika jambo adhimu kama hili ?!!!

#Siempre JMT🙏
 
Na kwa spidi ya hawa jamaa kuzaliana na kuchukua ardhi huku bara miaka iijayo watakuwa wengi kuzidi wazawa!!
 
Kweli baba askofu, kwanini wazanzibari wanakuwa special kwenye muungano?
Makosa ni muungano wenyewe, kuna wakati wa Raisi Mwalimu Nyerere ilikuwa dhambi kuu kujadili muungano wenyewe.
Tanesco inawauzia umeme Zanzibar lakini mara nyingi Zanzibar hawalipi kabisa na haina mamlaka ya kuwazimia umeme, serikali ya Muungano inasamehe deni,unategemea Tanesco atengeneze faida?
Ukichukua ukubwa wa ardhi na wingi wa watu,Zanzibar imewakilishwa zaidi kwenye bunge la muungano na kwenye serikali ya muungano kuliko Tanganyika.
Zanzibar ina bunge lake la wawakilishi,Tanganyika haina bunge.
Zanzibar ina serikali yake,Tanganyika haina serikali.
Zanzibar ina dini yake,Tanganyika haina dini.
 
Mhashamu Askofu Augustino Shao wa Zanzibar ametimiza Jubilei ya miaka 25 katika utumishi wa kanisa la Roman Catholic huko Zanzibar.

Kwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shao kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar, amezungumzia mambo mbalimbali aliyokumbana nayo akiwa katika utumishi wa kanisa, moja au baadhi ni Usafirishaji haramu wa watu kwenda nje ya nchi na uhamiaji wanatumika kutoa pasipoti pasipo utaratibu.

Amesema watu wanasafirishwa nje kwa kuhadaiwa kazi nzuri lakini mbele wanabadilishiwa kile walicho aidiwa na kwenda kufuga nguruwe au kazi za hatari.

Kwa upande mwingine ameongelea kuhusu aridhi ambapo ni tatizo kubwa Zanzibar, yaani mkristo kupata aridhi ni haiwezekani, hasa ukifahamika kutoka bara kama yohana upewi.

"Siyo kila mkristo anakuja kujenga kanisa, kanisa halijengwi na familia bali na taasisi kama madhehebu, alisema askofu Shoo.

Aliiomba Serikali ifikilie wanapopima viwanja waweke kipaumbele pia kwa mashirika na taasisi za kidini, sababu kanisa linatizama mbele na si kuwapa kiwanja size ya 20x20.

Aliongeza kuwa "katiba inatoa nafasi kwa raia kuwa na usawa,haiwezekani ukienda bara unachukua aridhi ila ukija zanzibar upewi, ifike mahari tuangalia usawa, ukipenda kula vya mwenzako na wewe kubali kuliwa vyako".
Suala la ardhi, kama Zanzibar wanakataa kutupa ardhi kuwekeza ama kujenga tu makadhi yetu binafsi basi nasi tuwanyang'anye ardhi hapa Bara, hakuna haja ya kubembelezana.
 
Mhashamu Askofu Augustino Shao wa Zanzibar ametimiza Jubilei ya miaka 25 katika utumishi wa kanisa la Roman Catholic huko Zanzibar.

Kwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shao kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar, amezungumzia mambo mbalimbali aliyokumbana nayo akiwa katika utumishi wa kanisa, moja au baadhi ni Usafirishaji haramu wa watu kwenda nje ya nchi na uhamiaji wanatumika kutoa pasipoti pasipo utaratibu.

Amesema watu wanasafirishwa nje kwa kuhadaiwa kazi nzuri lakini mbele wanabadilishiwa kile walicho aidiwa na kwenda kufuga nguruwe au kazi za hatari.

Kwa upande mwingine ameongelea kuhusu aridhi ambapo ni tatizo kubwa Zanzibar, yaani mkristo kupata aridhi ni haiwezekani, hasa ukifahamika kutoka bara kama yohana upewi.

"Siyo kila mkristo anakuja kujenga kanisa, kanisa halijengwi na familia bali na taasisi kama madhehebu, alisema askofu Shoo.

Aliiomba Serikali ifikilie wanapopima viwanja waweke kipaumbele pia kwa mashirika na taasisi za kidini, sababu kanisa linatizama mbele na si kuwapa kiwanja size ya 20x20.

Aliongeza kuwa "katiba inatoa nafasi kwa raia kuwa na usawa,haiwezekani ukienda bara unachukua aridhi ila ukija zanzibar upewi, ifike mahari tuangalia usawa, ukipenda kula vya mwenzako na wewe kubali kuliwa vyako".
Sasa mbona amekabwa kotekote! Haya alitakiwa ayatoe miaka iliyopita, Zanzibar ni nchi ya kiisilamu japo inapenda hela za wazungu.
Nani alisema kufuga nguruwe ni haramu, aende Misri ambao ndio wanaongoza kwa ufugaji wa nguruwe, vihiyo naomba msichanganye na ulaji.
 
Mhashamu Askofu Augustino Shao wa Zanzibar ametimiza Jubilei ya miaka 25 katika utumishi wa kanisa la Roman Catholic huko Zanzibar.

Kwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shao kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar, amezungumzia mambo mbalimbali aliyokumbana nayo akiwa katika utumishi wa kanisa, moja au baadhi ni Usafirishaji haramu wa watu kwenda nje ya nchi na uhamiaji wanatumika kutoa pasipoti pasipo utaratibu.

Amesema watu wanasafirishwa nje kwa kuhadaiwa kazi nzuri lakini mbele wanabadilishiwa kile walicho aidiwa na kwenda kufuga nguruwe au kazi za hatari.

Kwa upande mwingine ameongelea kuhusu aridhi ambapo ni tatizo kubwa Zanzibar, yaani mkristo kupata aridhi ni haiwezekani, hasa ukifahamika kutoka bara kama yohana upewi.

"Siyo kila mkristo anakuja kujenga kanisa, kanisa halijengwi na familia bali na taasisi kama madhehebu, alisema askofu Shoo.

Aliiomba Serikali ifikilie wanapopima viwanja waweke kipaumbele pia kwa mashirika na taasisi za kidini, sababu kanisa linatizama mbele na si kuwapa kiwanja size ya 20x20.

Aliongeza kuwa "katiba inatoa nafasi kwa raia kuwa na usawa,haiwezekani ukienda bara unachukua aridhi ila ukija zanzibar upewi, ifike mahari tuangalia usawa, ukipenda kula vya mwenzako na wewe kubali kuliwa vyako".
Bado sijaona hoja zake

Hazina mantiki au labda kama huja copy vizuri

Tuwekww clip

Issue ya zanzibar na tanganyika sio ya kuiongelea tu inabidi ukae kwa kutulia kuna sababu nyingi za makusudi ambazo hazitakiwi ziguswe
 
Hili hutomsikia mama akiliona kama kero ya muungano. Alipoingia alitatua haraka kwa kuangalia upande mmoja.
 
Back
Top Bottom