Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

Basi nasi huku Bara tuwawekee sheria hiyo hiyo
 
mtaacha kutokujiamini hadi lini? mbona siku zote hamjiamini?mkoa wenyewe huo sijui wilaya, imejaa machoko tu.
 
Ni muda tanganyika itungwe sheria wale watu wa visiwani wairejeshe ardhi wanaomiliki bara na asiruhusiwe mtu wa visiwani kumiliki ardhi
 
Ni muda tanganyika itungwe sheria wale watu wa visiwani wairejeshe ardhi wanaomiliki bara na asiruhusiwe mtu wa visiwani kumiliki ardhi
wala sio sheria, kuna siku mwendawazimu mmoja atakuja kuchukua nchi, watafurumushwa na kutembea kwa mguu hadi nungwi. ndio maana tunasemam tunahitaji muungano wa kuheshimiwana na wenye usawa kwenye kila kitu, ama la....,wao wanashangilia na kuita nchi ya upande mmoja ya kidini, kwingine wanakuja kuinjoi tu, wengine wapate ardhi na wengine wasipate, wengine waitwe chogo wengine wasiitwe. ni dhambi ya ubaguzi itawadhuru siku moja.
 
Kwa kweli askofu Shao amekuwa jasiri sana, muwazi na amewafungua watu macho na akili, hongera sana askofu!
 
Watanganyika mlioko Tanganyika mnauzwazwa wa kifikra mnoo. Hamjui hata mnalolishadidia.

Huku mitaani kwetu Zanzibar kumejaa wauza nyungo, sumu za panya, mifuko, mihogo na wamasai ambao ni mapambo ya hoteli za kitalii maana kwa ulinzi hawa hawana wanachokilinda. Huku mitaani kwetu kuna mpaka wauza papa wenu, kumejaa waschana na wanawake wa kitanganyika wanauza nyapu . Huku kwetu mitaani kuna walemavu na wanaojifanya walemavu wanatoka asubuhi mapema kwenda mjini kuomba, tayari wameshaelekezwa kuwa Zanzibar walemavu hawaombi bado wamekomaa hata aibu hawaoni, kiukweli sisi ndio tunaona aibu kwa uwepo wao.

Hivyo basi, msikae mkajitia hamnazo kusimbulia kuwa wazenj wako singida, kigamboni, Tanga na kwengineko ati muafukuze. Wazenj huko waliko wote wanashughuli zao na wala hawavunji sheria tena kitu cha maana zaidi walipo wazanzibari ujue kuna watanganyika wananufaika na uwepo wao ila nyie huku mnakuja mnauza sumu za panya hamna moja la maana mnalolifanya kwa maslahi ya wenyeji.

Acheni kulaumu, huu muungano mnaojitia kuisema sisi tulishasema na kutoa maoendekezo yetu zamani kuwa hauko sawa na wala hautakaa uwe sawa.

Kuhusu ardhi narejea tena msahau, mnachokitaka huku kwetu hakiwezekani. Tabora, Arusha, Dodoma, Iringa, Mbeya kuna mapende ya ardhi ya kutosha mnaweza kujenga hata mikanisa ya kilomita alfeni mbona hamwendi mkajenga huko, mmeshika kulilia ardhi Zanzibar. Muache ufisadi Zanzibar wenyewe hawataki kujengewe mikanisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…