Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

we punguani kweli, kwahiyo umekuja hapa kujaribu kuaminisha umma kwamba maisha ya bara ni magumu kuliko maisha ya hapo kwenye urojo?
 
Umefanya nicheke kwa kugugumia asee NUMBER 10, ukweli nyie watu hamuwapendi Watanganyika hata kidogo, juzi nipo zangu kitaa stone town hapo kati napiga urojo, anapita dogo wa kiarabu aliyechoka anakokota baiskeli ya walemavu akipiga kelele...

"muondoke stone town hii ni mitaa special ya wazanzibari, mtuachie nchi yetu tumewachoka"

Baadhi hawakumfuatilia ila mmoja alisema "huyu jamaa kachanganyikiwa".

Although akili ya huyo dogo half cast wa kiburushi ndivyo akili za wengi zilivyo, sehemu nyingi duniani kila mtu anaenda popote kwa kufuata sheria na lengo lake na kufanya lolote isipokuwa kuvunja sheria za nchi husika.
 
Wazanzibari hawapendi usumbufu ndugu Mtanganyika.
Ni kweli na ndiyo maana wakati wa ramadhani wakereketwa wanaotumiwa na masheikh wanapita mitaani nyumba hadi nyumba kusaka watu wanaokula kwa kutumia hela zao wenyewe lakini wakereketwa inawauma. Kweli hampendi usumbufu.
 
Hivi dada NUMBER 10 unajitambua akili kweli? Zanzibar kuna maisha gani mazuri shinda hapa Bara, sema ukweli.
 

1. Bajeti ya SMZ ni Trillioni 2.5. Bajeti ya JMT ambayo ni Tanganyika ni Trilioni 41

Hivi Wazanzibar wanataka account ya pamoja ya nini? kujadli nini?

2. Makusanyo ya ZRB ni Bilioni 500, TRA ni Bilioni 400. Wazanzibar wanaosema TRA inakusanya na kuleta Bara, ni kiasi gani hicho? Bilioni 400 hazijafika hata nusu Trilioni. Bajeti inaonyesha pesa zote zinabaki Zanzibar

3. Bajeti ya SMZ haina Wizara ya Ulinzi, mambo ya ndani , nje au taasisi za muungano
Gharama hizo zipo katika bajeti ya JMT ambayo ni bajeti ya Tanganyika

4. Kuna eneo linaeleza pesa za mfumo wa elimu ya juu (HEET) ambapo JMT itagharamia Zanzibar Marine institute
Hivi Zanzibar si wana mfumo wao wa elimu ya juu na wizara zao kwanini pesa zitoke Tanganyika?

5. Bajeti ya SMZ haionyeshi wale Wabunge wa Zanzibar wanaokuja Dodoma kusikiliza habari za Tanganyika wanalipwaje. Maana yake gharama za Taasisi ya Bunge kwa Wabunge kutoka Zanzibar zinalipwa na Watanganyika

Ukisoma bajeti ya Zanzibar sehemu kubwa ni elimu , afya na kununua maboti na utalii
Bajeti haina vyanzo vingi vya kodi kwasababu maeneo yenye gharama kama kuendesha wizara na taasisi za muungano zinabebwa na Watanganyika.

Katika kuhakikisha Watanganyika hawabebeshwi kodi na tozo na katika kuongeza vyanzo vya mapato, njia moja ni kupunguza matumizi hapo ndipo Zanzibar inatakiwa ibebe gharama kama za taasisi kama Wabunge wao, ichangie taasisi za muungano na wizara husika.

Kwa kuwa na taasisi za JMT zenye mbadala kule Zanzibar, je, hiyo siyo duplication inayombebesha mlipa kodi gharama?
JokaKuu Pascal Mayalla
 
Kamtafute Lukuvi umemueleza haya
 
Kamtafute Lukuvi umemueleza haya
Changieni hela nyie kupe acheni kulialia..mnataka kupewa tu kutoa hamtaki.

Selfish madafakaz.

Huu muungano ni bora sana sema ninyi ndio mnauharibu kila siku kulialia mpewe..nyie hata kipamde cha ardhi kwa mtanganyika hamtoi.

Better kwenda na serikali moja ili kukomesha huu ujinga.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hatutaki kuwapa mzigo wa kutuchangia bajeti na ndio maana hatutaki muungano na nyinyi matajiri wa Afrika.

Sisi vijisiwa vyetu vimetutosha na kibajeti chetu kidugu.

MTUACHE TUU KAMA TUNAWAKERA NA UKUPE NA UVIVU WETU
 
Mimi nauliza, sera ya CCM ni serikali mbili kuelekea moja. Haya yalisemwa zama za G55.
Nini kinazuwia utekelezaji wa sera hii?
 
Mimi nauliza, sera ya CCM ni serikali mbili kuelekea moja. Haya yalisemwa zama za G55.
Nini kinazuwia utekelezaji wa sera hii?
Kinachozuia ni ulevi na uchu wa madaraka..na sio kingine.

#MaendeleoHayanaChama
 
Dini zingine ni mapango ya wanyang'anyi tu
 
Kinachozuia ni ulevi na uchu wa madaraka..na sio kingine.

#MaendeleoHayanaChama
Na ni ulevi hasa kwa wazanzibari. Fikiria vyeo vitakavyo potentially.
Rais, Makamo wawili, cabinet yote, makatibu wakuu, wakurugenzi na orodha inaendelea.
 
hata baada ya yote hayo bado ni eneo pekee linalo ongoza kwa ufil.aji
 
Vyeo vitakavyo potea.
Huwa nasema adui wa kwanza kabisa wa wazenji ni viongozi wao..hao walamba asali ya Tanganyika kamwe hawawezi kukubali muungano uvunjike.

Hata wazenji walimie meno...all ina all naamini katika muungano na kuwa na serikali moja.

Ili kuondoa hizi kero za kipuuzi na u selfish.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mimi nauliza, sera ya CCM ni serikali mbili kuelekea moja. Haya yalisemwa zama za G55.
Nini kinazuwia utekelezaji wa sera hii?
Zilikuwa ni kauli za kisiasa kutuliza joto la kisiasa kwa hao G55.
Dr. Salmin aliwachania "laiv" bila ya kupepesa macho kwamba hicho kitu hakiwezekani labda mje mtawale miti.
 
Zilikuwa ni kauli za kisiasa kutuliza joto la kisiasa kwa hao G55.
Dr. Salmin aliwachania "laiv" bila ya kupepesa macho kwamba hicho kitu hakiwezekani labda mje mtawale miti.
Inawezekana ikiamuliwa hakuna kinachoshindikana chini ya jua...kitakachofanyika nikuondoa maotea yote ila mazao yakuwe vyema.

Sema maslahi binafsi na uchu wa madaraka ndio shida iliyopo kwa viongozi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Zilikuwa ni kauli za kisiasa kutuliza joto la kisiasa kwa hao G55.
Dr. Salmin aliwachania "laiv" bila ya kupepesa macho kwamba hicho kitu hakiwezekani labda

Zilikuwa ni kauli za kisiasa kutuliza joto la kisiasa kwa hao G55.
Dr. Salmin aliwachania "laiv" bila ya kupepesa macho kwamba hicho kitu hakiwezekani labda mje mtawale miti.
Kwa bahati maisha yetu ni mafupi. Mchanganyiko wa watu unabadilika taratibu. Vijana wengi kutoka bara wamehamia huko. Wana vitambulisho vya mzanzibari.
Itafika muda watakuwa na wingi wa kutosha kuleta mabadiliko. Hapo ndipo mutagunduwa kwamba mumezidiwa mikakati.
 
Uzushi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…