Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

Kwani G55 na OIC wanahusiana vipi?
Hati ya kusafiri na passport! unajua unachoongelea hapa?

Tatizo la wenzetu ni lile lile kutojishughulisha kutafiti au kusoma.

OK tuendelee na hadithi '' Zanzibar ni nchi ya kwanza kuwa na TV''
G55 ilizuka kwa sababu ya OIC. Wabunge walikuja juu Zanzibar imevunja katiba ya Jamhuri ya Muungano.
Dr Salmin akaenda Bungeni kuwanyea mbovu walipokuwa wanashinikiza Zanzibar ijitoe. Baadhi ya maneno ya shombo aliyoyatoa Dr Salmin kwa Wabunge ndani ya Bunge na kupelekea kuzuka kwa G55 kwa kuona wanadharauliwa na hivyo kutaka kuanzishwe kwa Serikali ya Tanganyika. "Wabunge mnatikisha kibiriti. Msitikishe kibiriti kilicho jaa." Hapo akiwa na maana hatetereki na maamuzi yaliyokwisha kufanyika.

Hati ya kusafiria. Fikra za watu wengi zilizowajaa na wanazoaminishwa ni kwamba kulikuwa na ulazima wa kutumia passport book tena kwa Watanganyika tu wakati wa kuingia na kutoka Zanzibar.

Hiyo TV ya rangi ni kweli na ni historia isiyoweza kufutika hata kama haina maana wala msaada wowote kwa sasa.
 
Hapana! Wazanzibar wana haki ya kuwaona Watanganyika sawa na Wa Nigeria , Kenya au Warusi
Wazanzibar wana haki ya kuitetea ardhi yao kwa uchungu sana na upendo.
Hata kama wanauza maeneo kwa Waarabu na Waitalia hiyo ni hiari yao

Tunachosema hapa ni kwa Watanganyika ndio wenye matatizo wasiwalaumu Wazanzibar
Uwepo wa Tananyika ungesaidia tatizo hilo
Watanganyika (machogo) wakatae na Kuzuia Wazanzibar kumiliki ardhi kama wanavyofanya wao
Watanganyika wabatilishe hati za Wazanzibar ili nao wawe na uchungu na nchi yao kama Wzbar

Watanganyika wanaanza kuelewa somo, matter of time
Mkuu hayo unayoyahubiri yanaweza kuhatarisha Muungano wetu, Na nilazima tukiri, Tanganyika ndio wahitaji wa huu Muungano.
 
Ita, nyongo, maini ,mbavu, lakini ukweli ndio Huo , tumevamiwa Na kila uchaguzi huuliwa watu mpate kuweka vibaraka wenu
Sawa.

Kumbuka hapa tunajadili issue ya aridhi hatuongelei mambo ya uchaguzi, una haki ya kwenda mahakama za kimataifa endapo uliona uchaguzi haukuwa wa haki, kulitokea uvunjifu wa Amani kwa raia kuuliwa, majeshi ya kivita kuingia kupiga na kuua raia.

Tatizo lako unaingilia nyuzi zisizogusa hisia zako!.
 
Sawa.

Kumbuka hapa tunajadili issue ya aridhi hatuongelei mambo ya uchaguzi, una haki ya kwenda mahakama za kimataifa endapo uliona uchaguzi haukuwa wa haki, kulitokea uvunjifu wa Amani kwa raia kuuliwa, majeshi ya kivita kuingia kupiga na kuua raia.

Tatizo lako unaingilia nyuzi zisizogusa hisia zako!.

Sheria Za ardhi zimejiweka zenyewe??
 
Mhashamu Askofu Augustino Shao wa Zanzibar ametimiza Jubilei ya miaka 25 katika utumishi wa kanisa la Roman Catholic huko Zanzibar.


Kwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shao kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar, amezungumzia mambo mbalimbali aliyokumbana nayo akiwa katika utumishi wa kanisa, moja au baadhi ni Usafirishaji haramu wa watu kwenda nje ya nchi na uhamiaji wanatumika kutoa pasipoti pasipo utaratibu.

Amesema watu wanasafirishwa nje kwa kuhadaiwa kazi nzuri lakini mbele wanabadilishiwa kile walichoahidiwa na kwenda kufuga nguruwe au kazi za hatari.

Kwa upande mwingine ameongelea kuhusu ardhi ambapo ni tatizo kubwa Zanzibar, yaani mkristo kupata ardhi ni haiwezekani, hasa ukifahamika kutoka bara kama Yohana hupewi.

"Siyo kila mkristo anakuja kujenga kanisa, kanisa halijengwi na familia bali na taasisi kama madhehebu", alisema askofu Shao.

Aliiomba Serikali ifikirie wanapopima viwanja waweke kipaumbele pia kwa mashirika na taasisi za kidini, sababu kanisa linatizama mbele na si kuwapa kiwanja size ya 20x20.

Aliongeza kuwa "Katiba inatoa nafasi kwa raia kuwa na usawa, haiwezekani ukienda bara unachukua ardhi ila ukija Zanzibar hupewi, ifike mahali tuangalie usawa, ukipenda kula vya mwenzako na wewe kubali kuliwa vyako".
Namheshimu sana Vaba Askofu, he us a holy man. Ila kwa hili kwa heshina zite jabisa I beg to differ. Bara tulo 60m wao wako 3m. Eneo letu jumlisha Germany and France, Zanzibar ni sawa na Tarafa ya Mkuranga. Tukisemaardhi iwe free nutakuleta Wasukuma milioni 3 patajaa harakam Kiswahili kitakufa na Waislamu watakuwa minority. Nia ya Muungano Nyerere na Karume ilikuwa kuungana lakini kupreserve identity ya Zanzibar but what are the issues? Zanzibar hawana ardhi, kwa nini tunapigania hewa? Kwa nini tutoane macho vichochoro ambavyo hata Zanziba wenyewe haitawatosha 10 years to come? Jibu ni serkali 2, kwa sababu serkali ya Muungano inawajibika kwa Watanzania wote ikiwamo shida hiyo hapo juu. Waache Wazenj wote waje, hawatajaza Mkuranga. Peleka Wasukuma wote kwa kina Nape, hapatajaa. NI SAWA ZANZIBAR KUZUIA ARDHI YAO, NI HAKI WAPEWE ARDHI HUKU KWETU, NI KWAO PIA, ARDHI INATOSHA. Shida pekee ni kupata Serkali ya 3, hapo ndiyo Muungano utakufa.
 
Muasisi wa hicho ukiitacho "ukakasi" ni baba wa taifa hayati JKN(siempre ,Rest easy) aliona mbali mno......

Mosi ,Zanzibar ilipata uhuru wake 1963 kabla ya Muungano...(aliogopea kuipoteza "identity yake").

Pili ,Zanzibar ni kisiwa.....sheria za visiwa si lazima zifanane na kwengineko(Rejea Muungano wetu ni wa kipekee).....ardhi yake ni ndogo sana na kila uchao idadi ya wakazi wa asili inaongezeka......

Tujikumbushe kuwa hayati Mzee Abeid Karume aligawa heka 2 kwa kila familia.....sasa unaanzaje kutaka mtanzania kutoka huku bara asiwekewe mipaka ya kununua na kuhodhi ardhi Kisiwani humo ?!!!

Hivi kweli hapa tunaongozwa na HISIA ama UHALISIA katika jambo adhimu kama hili ?!!!

#Siempre JMT[emoji120]
Tuanzie ktk huu Uhuru?
Hata South Africa ilipata Uhuru 1910.
Je uliyoyaandika unayasadiki?
 
Kihistoria ilikua ni yao kwa maana walikuepo wazaz wao wakiish hapo wakolon walivyokuja kuweka mipaka wakaiweka huku tanzania ndio wanzanzibar wako weng kigambon miaka na miaka toka kale
Unafahamu kuwa Znz ilikuwa bara? Ila ikameguka kwa sababu za kijiografia na tabia nchi?
 
Tueleze ni kwa vipi! Tanganyika inahitaji muungano

  • Historia inaeleza wazi kuwa wao ndio waliouomba.
  • Wao ndio wamekua wakitumia nguvu nyingi kuulinda kwa muda mrefu sana.
  • Kila aliejaribu kuukosoa wao walifika haraka kupambana nae (Jumbe, Maalim Seif, Wale jamaa wa Uamsho,)
  • Waemkua wakitumia nguvu kubwa sana kuhakikisha kuwa Upinzani hauishiki madaraka Zanzibar mana wanaamini kabisa Maalim Seif angelivunja Muungano.
  • Inafika mpaka hatua pale viongozi wa Zanzibar wanatoa maneno yasiyo na maadili lakini wanaishia kuvumilia (Refer walipotaka kuwazimia umeme Zanzibar kutokana kuwa na deni kubwa la Umeme Dr. Shein alijibu na wazime tutawasha vibatari, JUst imagine hiki kilikua kipindi cha Jiwe na aliufyata, Na hata Karume aliwahi kutoa kauli ya kuwa Muungano ni koti tukihisi linatubana tutalivua)
 
Hiko kimsitu kilichozungukwa na kubakia kieneo kidogo kilichounganisha na tanganyika upande wa kurasini na maji walipewa wanzanzibar hapo ndio kigamboni ya wanzanzibar mjeruman alikuja akamega tu kinabavuna nyerere alijua hilo ndio maana akawai kuitawala kwa kivul cha muungano na wakiwa huru watataka eneo lao zanzibar ilitakiwa iwe na visiwa vitatu kuunda nch moja yaan unguja pemba na kigambon .
Screenshot_20220512-235025.jpg
 
Wilaya ya Sengerema 3,162 square km
Nchi ya Zanzibar 2,461 square km

Hawa jamaa wakizaliana sana UROJO na MAPEMBE (mchele wa kitumbo) VITAISHA watakuja kujazana kuishi huku kwetu bara kwa wanaotuita machogo!! tuanze kurekebisha sheria za umiliki ardhi nao wasipewe huku bara. Waziri wa ardhi asiseme hatujamwambia!
wakati ni huu

niliishi Zenj miezi sita ubaguzi niliofanyiwa kule si wa dunia hii wala sikufukuzwa niliondoka mwenyewe bila kuaga mtu na kazi nikaacha!hata chumba cha kupanga tu hupewi mbara inabidi akodi mshkaji wako mzenji halafu mwenye nyumba anashangaa umetimba hapo unakaa wanakuhesabia miezi ukibaki mmoja wanakwambia hama kodi ikiisha!!

mara washkaji zako wazenj wachukue namba yako ya cm na kuwapa wenzao wanakupigia cm ukipokea tu unakutana na mvua ya matusi mazito ya nguoni wakati nawewe unaandaa majibu ya matusi toka bara wanakata cm na kuizima!!

samahani wazenj mimi mbara chogo mlinibagua na siwapendi kinoma!

wanakuahidi salary kubwa ukianza kazi mwisho wa mwezi wanakupa nusu mshahara sababu we mbara huli urojo na mapembe!

mtu mwenye elimu kubwa mitaani ni form six!!

watu wa mjini Unguja wale wajanja tu ikifika jioni eti tunakusanyika forodhani kula urojo na kuangalia vijana wakiruka sarakasi na kuangukia baharini ili kufurahisha watalii wa kizungu! wenye akili Zenj unahesabu!
 
Hiko kimsitu kilichozungukwa na kubakia kieneo kidogo kilichounganisha na tanganyika upande wa kurasini na maji walipewa wanzanzibar hapo ndio kigamboni ya wanzanzibar mjeruman alikuja akamega tu kinabavuna nyerere alijua hilo ndio maana akawai kuitawala kwa kivul cha muungano na wakiwa huru watataka eneo lao zanzibar ilitakiwa iwe na visiwa vitatu kuunda nch moja yaan unguja pemba na kigambon .View attachment 2222227
mkuu Fish hizo data umetoa inatakiwa uwe ulikuwepo ukipiga mvinyo na kina Carl Peters wakati wa Berlin Conference 1884-5 wakati wazungu wakigawana Africa otherwise labda umeongea na Bob Marley!mwenge hauruki kijiji!! weed widaaa! legalize!!😊😊

Sijawahi kusoma any book of history wakiandika kigamboni ya wazenji@! tuwekee source!!

Au maybe you are the custodian of colonial archives!!
 
Post hii ina ujumbe uliofana na >>huu<<, lakini humu jukwaa la siasa nimeona iwepo kwasababu hili ni jambo linalogusia siasa baina ya Zanzibar na bara na kumekuwa na post nyingi kuhusu hili swala humu jukwaa la siasa.

Kwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shayo kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar amezungumzia mambo mbalimbali likiwemo la tatizo la wabara kumiliki ardhi Zanzibar.

Ameongelea kuhusu aridhi ambapo ni tatizo kubwa Zanzibar, yaani mkristo kupata aridhi ni haiwezekani, hasa ukifahamika kutoka bara kama ni mkristo upewi.

Aliongeza kuwa "katiba inatoa nafasi kwa raia kuwa na usawa,haiwezekani ukienda bara unachukua aridhi ila ukija zanzibar upewi, ifike mahari tuangalia usawa, ukipenda kula vya mwenzako na wewe kubali kuliwa vyako".

Maoni ya ziada

Achilia mbali taasisi za Znzibar, yani hata kwa raia wa kawaida wa kizanzibar, ukienda dsm, kigamboni, kuna wazanzibar wanamiliki ardhi wapendavyo, ukienda mikoani kuna wazanzibar wananunua maeneo wapendavyo. ila sisi tukienda kule mhhhh, .......,

kwenye kuoa hapa napo huwa pana ubaguzi, yani ukifahamika ni mtu wa bara tu hapo sahau kupata binti, ila huku bara haya mambo hayapo.

kingine ni kila ramadan ikifika wakristo inabidi tujifungie vyumbani kupika na kula lasivyo utachapwa viboko kama mtoto mdogo ama kufungwa jela kwenye mateso makali mno....ni jambo ambalo linaumiza sana maana katiba ina uhuru wa imani ila nchi inaendeshwa utadhani ina katiba ya kidini.

kingine pia ni udhalilishaji wa wazi wazi, ni kawaida sana kusikia ukiitwa "kichogo" kisa tu ni mtu wa Tanganyika na kichwa chako hakipo flat kama wazanzibar wengi, hiki si kitu kigeni hata kwa wale ambao wamejiunga ama wamewai kupiga chabo kwenye magrup ya kizanzibari ya fb na whatsapp.
kwahiyo unashauri nini kifanyike?
 
  • Historia inaeleza wazi kuwa wao ndio waliouomba.
  • Wao ndio wamekua wakitumia nguvu nyingi kuulinda kwa muda mrefu sana.
  • Kila aliejaribu kuukosoa wao walifika haraka kupambana nae (Jumbe, Maalim Seif, Wale jamaa wa Uamsho,)
  • Waemkua wakitumia nguvu kubwa sana kuhakikisha kuwa Upinzani hauishiki madaraka Zanzibar mana wanaamini kabisa Maalim Seif angelivunja Muungano.
  • Inafika mpaka hatua pale viongozi wa Zanzibar wanatoa maneno yasiyo na maadili lakini wanaishia kuvumilia (Refer walipotaka kuwazimia umeme Zanzibar kutokana kuwa na deni kubwa la Umeme Dr. Shein alijibu na wazime tutawasha vibatari, JUst imagine hiki kilikua kipindi cha Jiwe na aliufyata, Na hata Karume aliwahi kutoa kauli ya kuwa Muungano ni koti tukihisi linatubana tutalivua)
Hizi ndizo faida za muungano kwa Tanganyika?

Elewa swali kwanza halafu lijibu kwa mujibu. Ni wewe uliyetoa hoja kwamba Tanganyika inafaidika
 
Hio fimbo kampiga nani? Labda kama kajipiga mwenyewe. Halafu ndo mnsema eti msomi. Wewe unaishi kwenye upande ambao una ardhi kubwa tena sana,hujanunua ardhi kwenu unataka kwenda kubanana sehemu ambayo ukipiga filimbi mjini mtu wa Nungwi anakusikia? Una akili kweli au matope?

Na hayo makanisa yajazeni yale mawili ya mji mkongwe kwanza. Unakwenda sehemu kuna wakristo 20 mnataka moewe heka nzima mjenge Kanisa? Ibada yenyewe jumapili hadi jumapili.

Ukiona pagumu tafuta pa rahisi.
 
Hio fimbo kampiga nani? Labda kama kajipiga mwenyewe. Halafu ndo mnsema eti msomi. Wewe unaishi kwenye upande ambao una ardhi kubwa tena sana,hujanunua ardhi kwenu unataka kwenda kubanana sehemu ambayo ukipiga filimbi mjini mtu wa Nungwi anakusikia? Una akili kweli au matope?

Na hayo makanisa yajazeni yale mawili ya mji mkongwe kwanza. Unakwenda sehemu kuna wakristo 20 mnataka moewe heka nzima mjenge Kanisa? Ibada yenyewe jumapili hadi jumapili.

Ukiona pagumu tafuta pa rahisi.
Kama zanzibar nimeona ndomahali pangu pazuri pakuishi kuliko huku Bara kwanini unizuie kujenga ilihali wote niwatanzania. Ingekuwa ukubwa wa ardhi ndomakazi basi watu wasingenunua nyumba kwa gharama kariakoo ilihali kimbiji viwanja mpaka vya buku vipo, wa zanzibar kuweni waelewa basi hata kama mnashika mkia kila mwaka kwenye mitihani ya sekondari maana mtu Kuja zanzibar anaweza kuvutiwa na mambo mbalimbali akaona bora kuhamishia huko makazi na kujenga kabisa huenda huko ana biashara zake, ameoa, amevutiwa tu na nature kama vile upepo mwanana, utulivu wa zanzibar ulivyo na mengine mengi. Sasa mkisema eti Bara kubwa unakuja zanzibar kujenga kwa lipi nasisi huku tutasema mbona pemba huko bado Kuna mapori makubwa msije mpaka mpajaze pawe kariakoo. Tumieni akili
 
Back
Top Bottom