G55 ilizuka kwa sababu ya OIC. Wabunge walikuja juu Zanzibar imevunja katiba ya Jamhuri ya Muungano.Kwani G55 na OIC wanahusiana vipi?
Hati ya kusafiri na passport! unajua unachoongelea hapa?
Tatizo la wenzetu ni lile lile kutojishughulisha kutafiti au kusoma.
OK tuendelee na hadithi '' Zanzibar ni nchi ya kwanza kuwa na TV''
Dr Salmin akaenda Bungeni kuwanyea mbovu walipokuwa wanashinikiza Zanzibar ijitoe. Baadhi ya maneno ya shombo aliyoyatoa Dr Salmin kwa Wabunge ndani ya Bunge na kupelekea kuzuka kwa G55 kwa kuona wanadharauliwa na hivyo kutaka kuanzishwe kwa Serikali ya Tanganyika. "Wabunge mnatikisha kibiriti. Msitikishe kibiriti kilicho jaa." Hapo akiwa na maana hatetereki na maamuzi yaliyokwisha kufanyika.
Hati ya kusafiria. Fikra za watu wengi zilizowajaa na wanazoaminishwa ni kwamba kulikuwa na ulazima wa kutumia passport book tena kwa Watanganyika tu wakati wa kuingia na kutoka Zanzibar.
Hiyo TV ya rangi ni kweli na ni historia isiyoweza kufutika hata kama haina maana wala msaada wowote kwa sasa.