Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo ila kweli hawawezi tu kujitokeza kwa kuhofia uhai wao.Hakuna na hatatokea kwa karne hii tuliyopo.
Kama aliyetokea kuufanya alikuwepo ,kwa nini asitokee wa kuumaliza ?Hakuna na hatatokea kwa karne hii tuliyopo.
Za chin ya kapet kigamboni ilikua sehem ya zanzibar tuliwapora tu wapemba
Ukanda wa Pwani wote kuanzia Somalia mpaka Sofala Msumbiji ilikuwa ni ZanzibarHuna akili kigamboni ni mainland tanganyika. Usione unapanda pantoni ukahisi unaenda kisiswani eti [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna sehemu nimeandika "kamwe hatatokea"Kama aliyetokea kuufanya alikuwepo ,kwa nini asitokee wa kuumaliza ?
Kumbuka Soviet Union imeondoka, Yugoslsvia , imeondoka ,Czechoslovakia imeondoka , na huu Uvamizi utaisha japo mnajaribu kuwajaza waTanganyika hapa Zanzibar lakini wenyewe tunajuana na kila mtu ana kwao hapa
Ukweli ni kuwa Wazanzibari hawawezi kukubali kutawaliwau na wa Tanganyika kwa unyamar mliotufanyia na mnaoendelea kutufanyia kila baada miaka mitano
Ndiyo hakuna mkuu, kama angekuwepo ungeyaona mapinduzi haijalishi kuuliwa.Wapo ila kweli hawawezi tu kujitokeza kwa kuhofia uhai wao.
Ina maana hawakumuelewa J. Kikweteukipenda kula vya mwenzako na wewe kubali kuliwa vyako".
Hakuna na hatatokea kwa karne hii tuliyopo. ---- hayo ndiyo maneno uliyoyaandikaKuna sehemu nimeandika "kamwe hatatokea"
👏🏾, Kuna sentence akili haikupenda kufafanua inasema "kwa karne hii"Hakuna na hatatokea kwa karne hii tuliyopo. ---- hayo ndiyo maneno uliyoyaandika
Hakuna na hatatokea kwa karne hii tuliyopo. ----Kuna sehemu nimeandika "kamwe hatatokea"
Kama vile ulisema labda kwa karne ijayo. Yaani hata chembe ya matumaini hukuiweka ndio umeandika sasa. Thanks👏🏾, Kuna sentence akili haikupenda kufafanua inasema "kwa karne hii"
So after that unapaswa kuelewa inaweza kuja tokea huko mbele ila siyo kwa kizazi hiki mkuu, daa!!.
Hujaandika hivyoHivi mkuu nikikwambia siji kwa muda huu unaelewa nini?.
Narudia wapo ila wanaogopa ukatili wa watunza usalama.Ndiyo hakuna mkuu, kama angekuwepo ungeyaona mapinduzi haijalishi kuuliwa.
Angalia ikitokea issue ya kuandamana jinsi mnavyokaa dirishani (tena kwa kuchungulia paziani) kuangalia wenzenu wakivunjwa miguu.
[emoji842]Narudia hayupo hata mmoja.
Ndiyo maana nikasema hakuna, utaniambiaje kuna mshindi alafu simuoni kwenye top 5?.Narudia wapo ila wanaogopa ukatili wa watunza usalama.
Unakumbuka matukio ya Januari 27 na 28, 2001 baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2000 kule Zanzibar?
Samehe maisha ya endelee..hiyo chuki uliyoijenga dhidi ya watanganyika itakutafuna mpaka lini...sote tu waafrika.Kama aliyetokea kuufanya alikuwepo ,kwa nini asitokee wa kuumaliza ?
Kumbuka Soviet Union imeondoka, Yugoslsvia , imeondoka ,Czechoslovakia imeondoka , na huu Uvamizi utaisha japo mnajaribu kuwajaza waTanganyika hapa Zanzibar lakini wenyewe tunajuana na kila mtu ana kwao hapa
Ukweli ni kuwa Wazanzibari hawawezi kukubali kutawaliwau na wa Tanganyika kwa unyamar mliotufanyia na mnaoendelea kutufanyia kila baada miaka mitano
Kumbe zilipendwa..basi pole kama unaamini huo ukanda utarudi tena chini ya zenji pole sana..kwa sasa zenji ni koloni la Tanganyika chini ya chama cha kijani.Ukanda wa Pwani wote kuanzia Somalia mpaka Sofala Msumbiji ilikuwa ni Zanzibar
Wenye chuki ni watanganyika wanakuja kutuuwa na kutupiga kila baada miaka mitanoSamehe maisha ya endelee..hiyo chuki uliyoijenga dhidi ya watanganyika itakutafuna mpaka lini...sote tu waafrika.
Au wewe ni mwarabu koko.
#MaendeleoHayanaChama