Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

Hakuna na hatatokea kwa karne hii tuliyopo.
Kama aliyetokea kuufanya alikuwepo ,kwa nini asitokee wa kuumaliza ?
Kumbuka Soviet Union imeondoka, Yugoslsvia , imeondoka ,Czechoslovakia imeondoka , na huu Uvamizi utaisha japo mnajaribu kuwajaza waTanganyika hapa Zanzibar lakini wenyewe tunajuana na kila mtu ana kwao hapa

Ukweli ni kuwa Wazanzibari hawawezi kukubali kutawaliwau na wa Tanganyika kwa unyamar mliotufanyia na mnaoendelea kutufanyia kila baada miaka mitano
 
Huna akili kigamboni ni mainland tanganyika. Usione unapanda pantoni ukahisi unaenda kisiswani eti [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukanda wa Pwani wote kuanzia Somalia mpaka Sofala Msumbiji ilikuwa ni Zanzibar
 
Kama aliyetokea kuufanya alikuwepo ,kwa nini asitokee wa kuumaliza ?
Kumbuka Soviet Union imeondoka, Yugoslsvia , imeondoka ,Czechoslovakia imeondoka , na huu Uvamizi utaisha japo mnajaribu kuwajaza waTanganyika hapa Zanzibar lakini wenyewe tunajuana na kila mtu ana kwao hapa

Ukweli ni kuwa Wazanzibari hawawezi kukubali kutawaliwau na wa Tanganyika kwa unyamar mliotufanyia na mnaoendelea kutufanyia kila baada miaka mitano
Kuna sehemu nimeandika "kamwe hatatokea"
 
Wapo ila kweli hawawezi tu kujitokeza kwa kuhofia uhai wao.
Ndiyo hakuna mkuu, kama angekuwepo ungeyaona mapinduzi haijalishi kuuliwa.

Angalia ikitokea issue ya kuandamana jinsi mnavyokaa dirishani (tena kwa kuchungulia paziani) kuangalia wenzenu wakivunjwa miguu.

🔸Narudia hayupo hata mmoja.
 
Na sisi bara tusiwape viwanja huku tanganyika. Ujue Watanganyika tumekuwa mafala sana
 
Hakuna na hatatokea kwa karne hii tuliyopo. ---- hayo ndiyo maneno uliyoyaandika
👏🏾, Kuna sentence akili haikupenda kufafanua inasema "kwa karne hii"

So after that unapaswa kuelewa inaweza kuja tokea huko mbele ila siyo kwa kizazi hiki mkuu, daa!!.
 
Kuna sehemu nimeandika "kamwe hatatokea"
Hakuna na hatatokea kwa karne hii tuliyopo. ----
👏🏾, Kuna sentence akili haikupenda kufafanua inasema "kwa karne hii"

So after that unapaswa kuelewa inaweza kuja tokea huko mbele ila siyo kwa kizazi hiki mkuu, daa!!.
Kama vile ulisema labda kwa karne ijayo. Yaani hata chembe ya matumaini hukuiweka ndio umeandika sasa. Thanks
 
Hakuna na hatatokea kwa karne hii tuliyopo. ----

Kama vile ulisema labda kwa karne ijayo. Yaani hata chembe ya matumaini hukuiweka ndio umeandika sasa. Thanks
Hivi mkuu nikikwambia siji kwa muda huu unaelewa nini?.
 
Ndiyo hakuna mkuu, kama angekuwepo ungeyaona mapinduzi haijalishi kuuliwa.

Angalia ikitokea issue ya kuandamana jinsi mnavyokaa dirishani (tena kwa kuchungulia paziani) kuangalia wenzenu wakivunjwa miguu.

[emoji842]Narudia hayupo hata mmoja.
Narudia wapo ila wanaogopa ukatili wa watunza usalama.
Unakumbuka matukio ya Januari 27 na 28, 2001 baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2000 kule Zanzibar?
 
Ndiyo maana nikasema hakuna, utaniambiaje kuna mshindi alafu simuoni kwenye top 5?.

Issue ya kusema yupo alafu unasingizia yupo ndani kwa sababu fulani unakosea asee.

Kusema wanaogopa can't make sense asee, nyie watu badirikeni asee!!
 
Kama aliyetokea kuufanya alikuwepo ,kwa nini asitokee wa kuumaliza ?
Kumbuka Soviet Union imeondoka, Yugoslsvia , imeondoka ,Czechoslovakia imeondoka , na huu Uvamizi utaisha japo mnajaribu kuwajaza waTanganyika hapa Zanzibar lakini wenyewe tunajuana na kila mtu ana kwao hapa

Ukweli ni kuwa Wazanzibari hawawezi kukubali kutawaliwau na wa Tanganyika kwa unyamar mliotufanyia na mnaoendelea kutufanyia kila baada miaka mitano
Samehe maisha ya endelee..hiyo chuki uliyoijenga dhidi ya watanganyika itakutafuna mpaka lini...sote tu waafrika.

Au wewe ni mwarabu koko.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ukanda wa Pwani wote kuanzia Somalia mpaka Sofala Msumbiji ilikuwa ni Zanzibar
Kumbe zilipendwa..basi pole kama unaamini huo ukanda utarudi tena chini ya zenji pole sana..kwa sasa zenji ni koloni la Tanganyika chini ya chama cha kijani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Samehe maisha ya endelee..hiyo chuki uliyoijenga dhidi ya watanganyika itakutafuna mpaka lini...sote tu waafrika.

Au wewe ni mwarabu koko.

#MaendeleoHayanaChama
Wenye chuki ni watanganyika wanakuja kutuuwa na kutupiga kila baada miaka mitano

Back
Top Bottom