kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #121
Wakati nchi inaingia mikataba mibovu ya madini ambayo Tanzania inapata 3% tu wanasheria wetu "nguli" walikuwepo, wakati Rais anarudisha uhusiano wa kibalozi na Israel baada uhusiano huo kuvunjika kwa miaka mingi kwasababu ya Palestine wanasiasa na makundi yote ya dini walikuwa kimya, wakati Rais anamwachia huru Babu Seya ambae alihukumiwa na mahakama kifungo cha maisha wanasheria wetu walikaa kimya kuheshimu Mamlaka ya Rais ya kikatiba. Sasa Sasa Sasa sasa sasa sasa sasa wache Katiba yetu iendelee kufanyakazi, Mama usigeuke nyuma katka adhima yako ya kuwaletea wanyonge nafuu ya maisha, usiogope zile kelele za huyoooo huyooo mchinje mchinje za makuwadi.