Hata huko Uingereza wanatafuta wawekezaji kutoka uarabuni, sembuse sisi? Waarabu wanamiliki timu zote muhimu zinazofanya vizuri Uingereza, ingekuwa sisi hapa mwarabu ananunua Simba na Yanga wangesema Kuna udini. Ni watu wapumbavu TU wanaopinga mkataba huu.
Rais usirudi nyuma, na kura zetu utapata 2025. Wapingaji wa serikali walikuwepo kwenye awamu zote tangu zile za akina Kambona, Chipaka, fundikila, tuntemeke sanga, Ibrahim Babu, maalim self, nk lakini serikali zilisonga mbele na mipango yake.