Kwa nini serikali isifungue soko la hisa la kuongeza bandari na watu wakanunua hizi ili kukusanya pesa za ujenzi. Na tuone tunahitaji kiasi gani . Mkuu kumbuka serikali inaongzwa kwa kodi za TRA. Sasa leo TRA ikiwa chini ya muarabu ina maana serikali inakuwa chini ya Muarabu. Ni mtazamo wangu.Wandugu me naungana na serikali Kwa 100% kwenye hili Jambo la bandari
Jamani kuna mambo lazima tukubali kusaidiwa because Sisi wenyewe tumefeli huo ni ukweli na sio dhambi
Mara zote bandari ilikuwa chini yetu, wizi ni mwingi, ubadhirifu ni mwingi, huduma mbovu ela hakuna
Sasa Leo anakuja mtu kuchukua bandari Kwa mwaka na akatulipa ela yetu ambayo wakati watanzania wako kwenye mamlaka tulikuwa hatuipati then why tuache hiyo deal?
Mimi nashauri serikali, itake the deal, muhimu ni kupata ela Tu.
Na wasiishie kwenye bandari, waende na kwenye mabasi ya mwendokasi na hata kwenye tren ya SGR
Wabongo sisi tuna makelele mengi ila tulipewa kurun miradi mikubwa hatuwezi, huo ndio ukweli
Serikali fanyeni haraka deal ikamilike
Kwa nini serikali isifungue soko la hisa la kuongeza bandari na watu wakanunua hizi ili kukusanya pesa za ujenzi. Na tuone tunahitaji kiasi gani . Mkuu kumbuka serikali inaongzwa kwa kodi za TRA. Sasa leo TRA ikiwa chini ya muarabu ina maana serikali inakuwa chini ya Muarabu. Ni mtazamo wangu.
Nitajie mkataba Moja tu mkubwa ambao serikali ya ccm ilishausaini ukanufaisha taifa na wananchi wa nchi hii? Ambao hauna upigajiWandugu me naungana na serikali Kwa 100% kwenye hili Jambo la bandari
Jamani kuna mambo lazima tukubali kusaidiwa because Sisi wenyewe tumefeli huo ni ukweli na sio dhambi
Mara zote bandari ilikuwa chini yetu, wizi ni mwingi, ubadhirifu ni mwingi, huduma mbovu ela hakuna
Sasa Leo anakuja mtu kuchukua bandari Kwa mwaka na akatulipa ela yetu ambayo wakati watanzania wako kwenye mamlaka tulikuwa hatuipati then why tuache hiyo deal?
Mimi nashauri serikali, itake the deal, muhimu ni kupata ela Tu.
Na wasiishie kwenye bandari, waende na kwenye mabasi ya mwendokasi na hata kwenye tren ya SGR
Wabongo sisi tuna makelele mengi ila tulipewa kurun miradi mikubwa hatuwezi, huo ndio ukweli
Serikali fanyeni haraka deal ikamilike
Nitajie mkataba Moja tu mkubwa ambao serikali ya ccm ilishausaini ukanufaisha taifa na wananchi wa nchi hii? Ambao hauna upigaji
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Wenye akili nyepesi kama wewe mpo tu. Umefikiri kwa kina? mbona hawajaanza na bandari za Zanzibar? Wafuatilie vizuri hao DP world uone mambo Yao. Kama watakubaliwa utakuwa ni mnada wa kihistoria.Wandugu me naungana na serikali Kwa 100% kwenye hili Jambo la bandari
Jamani kuna mambo lazima tukubali kusaidiwa because Sisi wenyewe tumefeli huo ni ukweli na sio dhambi
Mara zote bandari ilikuwa chini yetu, wizi ni mwingi, ubadhirifu ni mwingi, huduma mbovu ela hakuna
Sasa Leo anakuja mtu kuchukua bandari Kwa mwaka na akatulipa ela yetu ambayo wakati watanzania wako kwenye mamlaka tulikuwa hatuipati then why tuache hiyo deal?
Mimi nashauri serikali, itake the deal, muhimu ni kupata ela Tu.
Na wasiishie kwenye bandari, waende na kwenye mabasi ya mwendokasi na hata kwenye tren ya SGR
Wabongo sisi tuna makelele mengi ila tulipewa kurun miradi mikubwa hatuwezi, huo ndio ukweli
Serikali fanyeni haraka deal ikamilike
Wenye akili nyepesi kama wewe mpo tu. Umefikiri kwa kina? mbona hawajaanza na bandari za Zanzibar? Wafuatilie vizuri hao DP world uone mambo Yao. Kama watakubaliwa utakuwa ni mnada wa kihistoria.
Kwa nini tusijifunze kwa waliofanikiwa?Tunaweza Kwa mambo mengine, Ila sio mambo kama haya
Angalia Tu miradi ambayo Sisi wenyewe tunasimamia Kwa 100% uone hiyo miradi ilivyo
Angalia Mradi wa Mabasi ya haraka, angalia ATCL kila siku ni shida tu
Ndege ya saa tano asubuh inasogezwa mbele mpaka saa 12 jioni
Uko sahihi.wenyewe tumefeli