Suala la Bandari tukubali tunahitaji msaada

Hizi nyuzi za kukejeli watanzania wote wakati wa kutetea jambo, lililosababishwa na mifumo mibovu zinatia shaka

Kwani wanaposema wanainchi wa Tanzania ni wapole na wasikivu

Kwani hujui kuna watu ambao sio wapole wala sio wasikivu?
 
Mbona vyeo vyao hawataki kusaidiwa?
 
Hivi unaakili timamu? Yaani mtu awekeze Trilioni kadhaa kwa mkataba wa mwaka mmoja!. Inakuingia akili kabisa[emoji706]
 
Hapo hakuna cha mwaka mmoja, hata ikiwa miaka 50 no problem
 
Wandugu me naungana na serikali Kwa 100% kwenye hili Jambo la bandari

Jamani kuna mambo lazima tukubali kusaidiwa because Sisi wenyewe tumefeli huo ni ukweli na sio dhambi

Mara zote bandari ilikuwa chini yetu, wizi ni mwingi, ubadhirifu ni mwingi, huduma mbovu ela hakuna

Sasa Leo anakuja mtu kuchukua bandari Kwa mwaka na akatulipa ela yetu ambayo wakati watanzania wako kwenye mamlaka tulikuwa hatuipati then why tuache hiyo deal?

Mimi nashauri serikali, itake the deal, muhimu ni kupata ela Tu.

Na wasiishie kwenye bandari, waende na kwenye mabasi ya mwendokasi na hata kwenye tren ya SGR

Wabongo sisi tuna makelele mengi ila tulipewa kurun miradi mikubwa hatuwezi, huo ndio ukweli

Serikali fanyeni haraka deal ikamilike
Kwa nini serikali isifungue soko la hisa la kuongeza bandari na watu wakanunua hizi ili kukusanya pesa za ujenzi. Na tuone tunahitaji kiasi gani . Mkuu kumbuka serikali inaongzwa kwa kodi za TRA. Sasa leo TRA ikiwa chini ya muarabu ina maana serikali inakuwa chini ya Muarabu. Ni mtazamo wangu.
 
Mfano Kwa sasa tunapata milion 100 Kwa mwezi kutoka bandarini,

So tunamwambia mwekezaji atupe milion 500 Kwa mwezi madhalani

Sasa hapo uoni kama ni faida? Uoni kama ni Jambo jema?

About hisa hata wao waarabu wanaweza kuja kununua 90% ya hisa zote, na bandari ikawa chini Yao so ni kama vile vile tu
 
Wandugu me naungana na serikali Kwa 100% kwenye hili Jambo la bandari

Jamani kuna mambo lazima tukubali kusaidiwa because Sisi wenyewe tumefeli huo ni ukweli na sio dhambi

Mara zote bandari ilikuwa chini yetu, wizi ni mwingi, ubadhirifu ni mwingi, huduma mbovu ela hakuna

Sasa Leo anakuja mtu kuchukua bandari Kwa mwaka na akatulipa ela yetu ambayo wakati watanzania wako kwenye mamlaka tulikuwa hatuipati then why tuache hiyo deal?

Mimi nashauri serikali, itake the deal, muhimu ni kupata ela Tu.

Na wasiishie kwenye bandari, waende na kwenye mabasi ya mwendokasi na hata kwenye tren ya SGR

Wabongo sisi tuna makelele mengi ila tulipewa kurun miradi mikubwa hatuwezi, huo ndio ukweli

Serikali fanyeni haraka deal ikamilike
Nitajie mkataba Moja tu mkubwa ambao serikali ya ccm ilishausaini ukanufaisha taifa na wananchi wa nchi hii? Ambao hauna upigaji

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Hata ww nikikwambia toa ushahidi wa upigaji I'm sure utakuwa Huna ni just hear says
 
Wandugu me naungana na serikali Kwa 100% kwenye hili Jambo la bandari

Jamani kuna mambo lazima tukubali kusaidiwa because Sisi wenyewe tumefeli huo ni ukweli na sio dhambi

Mara zote bandari ilikuwa chini yetu, wizi ni mwingi, ubadhirifu ni mwingi, huduma mbovu ela hakuna

Sasa Leo anakuja mtu kuchukua bandari Kwa mwaka na akatulipa ela yetu ambayo wakati watanzania wako kwenye mamlaka tulikuwa hatuipati then why tuache hiyo deal?

Mimi nashauri serikali, itake the deal, muhimu ni kupata ela Tu.

Na wasiishie kwenye bandari, waende na kwenye mabasi ya mwendokasi na hata kwenye tren ya SGR

Wabongo sisi tuna makelele mengi ila tulipewa kurun miradi mikubwa hatuwezi, huo ndio ukweli

Serikali fanyeni haraka deal ikamilike
Wenye akili nyepesi kama wewe mpo tu. Umefikiri kwa kina? mbona hawajaanza na bandari za Zanzibar? Wafuatilie vizuri hao DP world uone mambo Yao. Kama watakubaliwa utakuwa ni mnada wa kihistoria.
 
Tuwape na nyongeza ya Machimbo ya Tanzanite,Dhahabu maana navyo ni kama vimetushinda. Ama nini.
 
Wenye akili nyepesi kama wewe mpo tu. Umefikiri kwa kina? mbona hawajaanza na bandari za Zanzibar? Wafuatilie vizuri hao DP world uone mambo Yao. Kama watakubaliwa utakuwa ni mnada wa kihistoria.

Hata wachina inchi nyingine wamefanya umafia Sana

But hapa kwetu wamefanya mambo mengi mazuri

So tusichukulie matukio mabaya ya inchi nyingine kuja kwetu
 
Hoja yako na mawazo yako yapo sambamba na mawazo ya Pasco Mayalla
 
Tukose wote tu 🤣🤣🤣
UFISADI mfanye nyie,,, Ajira mpeane nyie..., Bandari kumekuwa Chaka la Koo...... Tukose wote tu...
 
Au tumuite mjerumani atawale kama miaka 30 maana hatukustahili kujitawala
 
Hatupingi kupewa ewe chawa, tunapinga vipengele vya mikataba pamoja na bandari zote kukabidhiwa huyo muarabu and co.
 
Tunaweza Kwa mambo mengine, Ila sio mambo kama haya

Angalia Tu miradi ambayo Sisi wenyewe tunasimamia Kwa 100% uone hiyo miradi ilivyo

Angalia Mradi wa Mabasi ya haraka, angalia ATCL kila siku ni shida tu

Ndege ya saa tano asubuh inasogezwa mbele mpaka saa 12 jioni
Kwa nini tusijifunze kwa waliofanikiwa?
 
Back
Top Bottom