Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Mi nadhani ni wakati sasa Yanga tususie Ligi nzima ikiwa ni kweli tunaona kuna uonevu katika hii Ligi ambayo inaongozwa na TFF na Board ya Ligi. Toka amekuwa Rais huyu jamaa Yanga hatujawahi fanikiwa katika Ligi. Miaka yote Simba wanapewa Ubingwa.
Hata Makombe mengine wanabeba Simba tu. Tunaona Kimataifa pia. Simba inabebwa CAF na hata CAF Conf Wao wanapandishwa chart kwenye Club bora Afrika. Sisi tunafanyiwa hujma na TFF,CAF,CAS na Board ya Ligi hatufiki popote.
SASA TUSISEME TU KUWA HATUCHEZI MATCH NA SIMBA. NI KUWA KWA SASA TUISUSIE LIGI NZIMA. ISIWE SAWA NA KUSEMA HATULI NYAMA YA MBWA TUTAKUNYWA SUPU TU.
TUSUSIE LIGI NZIMA.