matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Covid 29 na HIV aids vyote ni virus.
Siku zote HIV aka Ngoma inakwanyua Waafrika hakuna pupa wala uharaka wa kutafuta chanjo.
Hapa kamdudu kamewagusa na wao basi wako bize kutafuta chanjo wanaumiza vicha hadi wanapata vipara.
Hii inaonyesha Covid ingekuwa afrika tungeachwa tupambane tujifie tu. Kama walivyofanya kwa Mipira ya ngono wangetuambia kinga na chanjo ya Covid ni Barakoa na Sanitizer, haina chanjo wala dawa. Au wangetutengenezea ARV za Covid.
Ningekuwa nina uwezo wa kumshawishi Mola kama yule Musa wa kwenye Biblia ningeomba Covid Afrika iwe kama kwikwi tu unakunywa maji inaenda alafu kwa wazungu na wachina Iwe kama ile Ngoma ya miaka ya 90 isiue haraka haraka. Ihakikishe wazungu wanapandisha hadi kenchi angalau mwaka mmoja hivi ili tuheshimiane.
Ila hakuna namna ngoja tupige dua tu kadudu na mapepo ya Covid yarudi Wuhan na ulaya huko yalikotoka sisi tuendelee na maisha.
Naelewa sana mtu akisema tujitegemee