Suala la crane kujaza maji bwawa la Nyerere limeonesha ukilaza na ushabiki mbaya

Ila Mungu nisamehe... Ila makamba na nape na team msoga wanaipeleka nchi pabaya.... Wamecheza na parody kigogo kumwangusha magufuri na kutoa Siri Zach nchi... Sasa wapo busy kutengeneza miradi ya upigaji... Gasi... Sijui mafuta now wanahujumu tanesco... Kwote wanalenga mamiradi makubwa ti
 
Unaonyesha umburula wako! Hivi hakuna action plan ya kutekeleza mradi huo? Na kama ipo walisahau kuweka ununuzi wa hiyo crane?

Sasa ndiyo umeamua kumpaka mavi kabisa huyo Makamba.
Sasa huyo Makamba alikuweko kwenye kutengeneza hiyo '' Action Plan''?
 
Unayo akili timamu?
 
Asad siyo Mhandisi, yeye anachojua ni matumizi ya hela tu; swala la uhandisi lilingiaje katika ripoti yake?
 
Kwani si kuna kabinet ya wataalum wa hiyo sekta
Accounting na auditing havina uhusiano kabisa na engineering. Kazi za ofis ya CAG ni kukagua mahesabu ya pesa za umma, siyo kukagua ubora wa miradi ya kihandisi. Wafanyakjazi chini ya osii ya CAG ni wakaguzi wa mahesabu tu.
 
Nimekuelewa vyema sana kitalaam..
Kifupi Waziri hakueleweka na raia walifikiri au tulifikiri kinachoongelewa ni just crane ya 26tone, kwa maana ya crane yeyote..

Kumbe, kinachohitajika nafikiri ni aina ya Gant crane, itakayokuwa fixed hapo permanently kwa jili kubebea milango kwenye Installation na wakati wa shutdown pia.... hizi huwa ni special na zinakuwa ni package ya Construction kwa maana zipo mpaka kwenye design.. huwa normally kwenye hydro plant na maplant mengine yanayoinvolve heavy lift kuna kuwaga sometimes na mounted crane ambazo ni fixed as part of design...

Viongozi wetu wajiepusha kutolea maelezo mambo ya kitaalam ambayo yanahitaji deep clarification ili kuepuka mikanganyiko..
 
Asad siyo Mhandisi, yeye anachojua ni matumizi ya hela tu; swala la uhandisi lilingiaje katika ripoti yake?
Performance audit Ina factor in mambo mengi sio Hela tu hata man power, performance gaps, scheduling, logistics n.k.
 
Accounting na auditing havina uhusiano kabisa na engineering. Kazi za ofis ya CAG ni kukagua mahesabu ya pesa za umma, siyo kukagua ubora wa miradi ya kihandisi. Wafanyakjazi chini ya osii ya CAG ni wakaguzi wa mahesabu tu.
Sio kweli, forensic Auditing au performance auditing inaenda deep zaidi. Kingine CAG hatumii wahasibu wa NAO pekee inahusisha hata private firms kama PWC maana hawezi kagua taasisi zote au miradi yote peke yake. So wanakuja wataalam wa Kila aina kutoa maoni Yao kulingana na performance indicators.

Ndio maana hata wakatoa maoni jinsi stendi ya magufuli italeta foleni (of course it's quintified in terms of monetary value) so haihitaji engineering kujua performance indicators ni Nini na kilichofanyika ni Nini based on the experts in the field who are deployed as "auditors".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…